Dawa za nguvu za kiume,acheni hizo.

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,045
Reaction score
13,483
Mtu umekaa na dada yako au mwanamke unayemheshmu mnapga story,anakuja mtu anaanza ooh ninauza dawa za kuboost nguvu. Tena anamwambia sista eti mwambie jamaa anunue. Fikirieni bwana si kila ukiona jinsia tofauti zmekaa pa1 unadhani ni wapenzi.
 
ha ha ha ha nimefurahi hiyo wakati mko "pamoja na mwanamke ndo anakujia" nalinganisha na situation ya muuza pipi anavyokujia ukiwa na mtoto LOL sasa uliyekaa naye ndo anakushauri ununue itakuaje?hembu nijibu kwanza
 
Hili nalo neno!
Kuna siku nipo na Bimkubwa maeneo fulani hivi! Bi mkubwa alinituma kidogo! Ile narudi namkuta jamaa anafosi kumtolea pi.chu saizi yake ati!
Aaagh aliniharibia siku yule kijana!
 
Mtu umekaa na dada yako au mwanamke unayemheshmu mnapga story,anakuja mtu anaanza ooh ninauza dawa za kuboost nguvu. Tena anamwambia sista eti mwambie jamaa anunue. Fikirieni bwana si kila ukiona jinsia tofauti zmekaa pa1 unadhani ni wapenzi.

hahaha umenikumbusha mbali saaaana Mi yalinikuta Mmasai kukuru kakara eti Nausa dawa ya Kurefusha Dudu "Mbo..o" eti iwe kama sime yake,....inakera sana sema ukikaa mwenyewe baadae unacheka hatari
 
Mi aniniudhi jamaa mmoja anauza picha za porn, hata ukikaa na mama mkwe anawaonyesha. Eti " za kikubwa wakuu". Ntakuja mchapa ngumi siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…