A A.Ngindo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 279 Reaction score 106 May 24, 2016 #1 Jamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze
Jamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze
kikokwe Member Joined Apr 7, 2012 Posts 66 Reaction score 25 May 25, 2016 #2 urefu upi unaotaka, jiachie upate msaada
A A.Ngindo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 279 Reaction score 106 May 25, 2016 Thread starter #3 Urefu wa kimo cha mwili
Konda wa bodaboda JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,981 Reaction score 4,172 May 25, 2016 #4 Unataka urefu wa kuwanasa wanawake?
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,830 Reaction score 12,291 May 25, 2016 #5 Kama mtu akifanya mazoezi ya kujenga mwili unajengeka, Naamini iwapo kila siku utashikwa mikono na mwingine miguu ukavutwa simuntaneously kwa dk sizizo pungua 45, utarefuka.
Kama mtu akifanya mazoezi ya kujenga mwili unajengeka, Naamini iwapo kila siku utashikwa mikono na mwingine miguu ukavutwa simuntaneously kwa dk sizizo pungua 45, utarefuka.
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,845 Reaction score 52,251 May 25, 2016 #6 hahaaa dah njoo nikupunguzie wangu
Chimps JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 559 Reaction score 356 May 25, 2016 #7 hakunaga mkuu
Antennah JF-Expert Member Joined Oct 14, 2015 Posts 6,933 Reaction score 9,033 May 25, 2016 #8 duh wew kumbe bdo ujapewa faida za ufumbi ndugu yangu..! ufupi unaraha yake.
noweezy Senior Member Joined Jan 9, 2016 Posts 103 Reaction score 93 May 25, 2016 #9 itakuwa anataka kujiunga na jeshi la polis
B binshab Member Joined Dec 25, 2015 Posts 24 Reaction score 12 May 31, 2016 #10 Unataka urefu saizi gani maana kuna vipimo tofauti kuanzia vya panya ,farasi,punda na mpaka vya tembo ni pochi lako tu mkuu
Unataka urefu saizi gani maana kuna vipimo tofauti kuanzia vya panya ,farasi,punda na mpaka vya tembo ni pochi lako tu mkuu
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,202 Reaction score 15,231 May 31, 2016 #11 Mkuu mbona wewe mrefu? Kuna Zakayo lara 1 anahangaika kila siku awe mrefu. Jivunie ulivyo
T typing Senior Member Joined May 31, 2016 Posts 106 Reaction score 70 Jun 1, 2016 #12 Hahahaha ukipata hyo dawa na mi nijulishe!
Joso Member Joined Aug 2, 2012 Posts 98 Reaction score 21 Jun 6, 2016 #13 A.Ngindo said: Jamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze Click to expand... Mzee tafuta mahala ambapo yanapatikana madodoki ya mwendokasi jichanjie! Utakuwa mrefu ndugu kadili ya dodoki linavyokuwa! Zoezi jema la kuwa mrefu.
A.Ngindo said: Jamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze Click to expand... Mzee tafuta mahala ambapo yanapatikana madodoki ya mwendokasi jichanjie! Utakuwa mrefu ndugu kadili ya dodoki linavyokuwa! Zoezi jema la kuwa mrefu.
DE FULE JF-Expert Member Joined Jan 10, 2013 Posts 1,213 Reaction score 714 Jun 12, 2016 #14 A.Ngindo said: Jamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze Click to expand... Kuna kampuni IPO ujerumani, in a to a dawa hizo angalia www.adishorn.com
A.Ngindo said: Jamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze Click to expand... Kuna kampuni IPO ujerumani, in a to a dawa hizo angalia www.adishorn.com
Tenno JF-Expert Member Joined Apr 7, 2016 Posts 323 Reaction score 158 Jun 12, 2016 #15 Weka picha tukuone kwnza
mkupuo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,840 Reaction score 2,132 Jun 12, 2016 #16 Mkuu muulize Lionel Messi wa Barcelona atakusaidia kwani naye inasemekana alipokuwa mtoto alikuwa mbilikomo wa kufa mtu lakini akapewa Hormones za kumsaidia kuongeza kimo chake.
Mkuu muulize Lionel Messi wa Barcelona atakusaidia kwani naye inasemekana alipokuwa mtoto alikuwa mbilikomo wa kufa mtu lakini akapewa Hormones za kumsaidia kuongeza kimo chake.
makamirwa Member Joined Jul 11, 2015 Posts 67 Reaction score 13 Jun 14, 2016 #17 binshab said: Unataka urefu saizi gani maana kuna vipimo tofauti kuanzia vya panya ,farasi,punda na mpaka vya tembo ni pochi lako tu mkuu Click to expand... bro urefu wa farasi bei gani
binshab said: Unataka urefu saizi gani maana kuna vipimo tofauti kuanzia vya panya ,farasi,punda na mpaka vya tembo ni pochi lako tu mkuu Click to expand... bro urefu wa farasi bei gani
Msuya Jr. JF-Expert Member Joined May 31, 2013 Posts 1,691 Reaction score 900 Jun 14, 2016 #18 Me bado sijaelewa urefu unaozungumziwa hapa!???
papaa kishimba Member Joined Jun 22, 2016 Posts 60 Reaction score 16 Jun 28, 2016 #19 na huwezikuelewa kamwe
tereweni JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 621 Reaction score 373 Jun 28, 2016 #20 A.Ngindo said: Jamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze Click to expand... Funga na kuomba Muulize sir God
A.Ngindo said: Jamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze Click to expand... Funga na kuomba Muulize sir God