Inasikitisha sana kuona watu wanashawishiwa kuwa na uume mkubwa ndo kufurahia hii siyo sahihi,kumbuka kuna wanawake wenye uke mkumbwa na wanaume wenye uume mkubwa pia, na wale wenye ndogo, cha msingi mwenye ndogo akutane na mwenye ndogo mwenzie and viceversa,
tofauti na hapo ni mateso makubwa,kuna jirani mmoja kila usiku kilikuwa kinasikika kilio kwao watu wakasema ni manjonjo ya mapenzi, kumbe nanii ya mmewe ilikuwa kubwa kuliko, mpaka alipovunja ukimia kwa majirani na kumshauri aongee na mmewe waende hospital,huko akashauriwa kuwekewa ring kwenye naniii ndiyo ilikuwa salama ya huyo dada.
Watu wanafikiri vile kichwa cha mtoto kinapita eti sembuse uume,iko hivyi wakati mama anajifungua mtoto husukumwa kwenda njia ya uzazi kwa uchungu,na kadri anavyosogea kutoka njia huwa inalazimishwa kutanuka,wakati mwingine njia kuongezea kwa mkasi(episiotomy),mara baada ya mtoto kutoka na kondo la nyuma kutoka,na uchafu wote, mwili huanza kurudia hali yake ya kwanza,baada ya miezi kama miwili uke unakuwa mdo mno,hii ni mambo ya ajabu Mungu alifanya ndoa zidumu.