Unajua mmea wa ALOVERA???? Kata kama majani yake mawili au matatu - saga kwenye blennder - halafu osha nywele zako ziwe safi - paka maji maji ya alovera ulioysaga - vaa cap yako na funga towel juu yake. - Stay for half an hour - Halafu osha vizuri. Paka mafuta unayotumia kwenye ngozi na suka - rudia tena kila mara unapofumua nywele zako.
Ukifanya hivyo frequently - nywele zako zitakuwa, zitakuwa strong