Yona edson mbona threads zako hazibadiliki kila wakati ni yale yale tu(mara mbunye, mara............).
Kama vipi sio lazima kuanzisha thread,
nisamehe kama nitakuwa nimekukwaza.
Sijui ni ujana unakusumbua? Ila mbona vijana wenzako hawako hivyo?
Labda wenzangu wanapenda threads zako?
Ila huo ndio USHAURI wangu kwako, utaamua mwenyewe kuufuata au kuuacha.