jaribu kutumia mkuu! mimi nilipona kwa kutumia huo huo ukwaju! maji yakiisha katika kidumu, unakuwa unaongeza, mpaka upukutishe radha yake! acidi ya ukwaju ni dawa mkuu!Samahani, umesema jaza ukwaju kwenye kidumu cha lita tano. Sasa kama umeshajaza hayo maji yataingia wapi ilhali tayari ubuyu umeshajaa ndani ya dumu.? Pia ukwaji una tabia ya kukwangua iwe tumbo au ulimi,itakuwaje unywe sharubati ya ukwaju huku tumbo liko wazi?
Poa kakajaribu kutumia mkuu! mimi nilipona kwa kutumia huo huo ukwaju! maji yakiisha katika kidumu, unakuwa unaongeza, mpaka upukutishe radha yake! acidi ya ukwaju ni dawa mkuu!
jaribu kutumia mkuu! mimi nilipona kwa kutumia huo huo ukwaju! maji yakiisha katika kidumu, unakuwa unaongeza, mpaka upukutishe radha yake! acidi ya ukwaju ni dawa mkuu!
nakupa njia nilizo zoea kuzifanya kisha nilipona! hata mimi nilitii mashalita bila kuuliza uliza! kwakuwa nilikuwa ninashida ya kupona! wewe hujawai umwa1 vidonda vya tumbo! ndio maana unauliza uliza! vitu visivyo kusaidia!Bado hujajibu hapo kwenye kujaza ukwaji kwenye chombo cha lita tano kisha tena ujaze maji!
Lakini pia, kwa nini kwenye chombo cha lita tano?
Ni bora kuwa na akili za kitoto zinazojielewa kuliko kuwa na akili za kikubwa alafu hauna akili kama wewemimi nimekwambia, tayali akiri zako ni zakitoto!
omeprazole inasaidia kwa muda tu, ukwaju ni mzuri sana kwa vidonda tena hautapata kiunguliaOmeprazole
Aksante kwa darasa1.chukuwa ukwaju na ujaze katika kidumu cha lita 5
2. weka maji mpaka yatakapo jaa, tia sukari kidogo kupunguza uchungu
3. subiri baada ya muda fulani hivi, ule uji uji uchanganyike na ukwaju iwe juice.
4. kunywa kama unakunywa maji ya kunywa, na tumbo lisiwe na kitu ndani yake/yaani usiwe umekula kitu chochote.
5. unaweza ukasikia maumivu lakini jikaze tuu, ndio kupona kunakuja.
6. utakuwa unabadilisha maji maana yatakuwa yanaisha katika kile kidumu,hivyo hivyo mpaka ule ukwaju umepukutisha radha yote.
7. usinywe maji ya kunywa unapo tumia, unywe ukwaju tuu,hata lita moja kwa mkupuo tena ukwaju ule mzito.
8. fanya hivyo siku zote mfululizo kama wiki hivi.
10. siku zinapo kwenda, utaanza kuona nafuu,
11. usinywe vitu vyenye asidi kari, kama soda, maembe,chungwa,nanasi, nk
12. baada ya miezi mitano ukiona hujisikii maumivu, test afya yako kwa kura maharage.
13. usiache kutumia ukwaju hata kama ni mara mojamoja!
binafsi, nilifanya hivyo na nilipona,na hata maharage ninakura, niliuguliwa takribani miaka 5, mfululizo! vidonda vya tumbo, ni mateso! lakini leo hii! imebakia kuwa ni historia!
sitaki wajue kwasababu sina.....ungekuwa unajielewa! ungekuwa unaleta story za kijinga! au unataka watu wajue kuwa kwenu mna TV!
ndio ubaya wa malezi ya siku hizi wazazi wanawalea vibaya!sitaki wajue kwasababu sina.....
nimekuelewa doctar...hamchelewi kukimbilia albadili sku hizi.....
sitokujibu tena reply, akili zako bado ndogo sanaa kushindana kihoja namimi...huna upeo
Mrejesho unasubiriwaNaanza dozi....... Ntaleta mrejesho.
Sivisikii sikuhiz na nilitumia kwelMrejesho unasubiriwa