Dawa ya unene uliopitiliza hii hapa

Dawa ya unene uliopitiliza hii hapa

Annonymous

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
727
Reaction score
1,210
1. Oa kwa ndoa ya kiikristo mwanamke wa kiswahili kutokea manzese au kawe ukimbahatisha mzalamo au mndengeleko umetoboa.

2. Kopa mkopo wa pesa riba nyonya damu kutokea watu microfinance. Au hope marejesho kila siku kisha hiyo hela.

3. Nunua pikipiki boxer namba B used upige boda urejeshe marejesho kwa wakopeshaji.

Yaani trip abilia, trip gereji, home inatakiwa hela mixer maneno kama hazana ya sa11 asubuhi, pakikucha wazee wa mkopo wanakusubiri uamke, huku plug imeharibika, tigo wanakufukuzia chuma haina vioo wala helmet huna, tairi kipara, moshi kama gari moshi la kigoma

Piga diko, kula shindilia ugali na wali, soda mpaka chipsi yai. Hunenepi kila siku nguo zitakupwaya

Joke
 
Tabu hii, Huku sio kupunguza uzito, Huku ni kujiua wakati Bado una una uzito wako!

Kupunguza uzito:

1. Kula kidogo.
2. Acha beer.
3. Kwepa ugali na mawali.
4. Tu mazoezi tu Dogo.
 
Sijala ugali na wali mda sana Kaka!

1. Badili mlo wa usiku Uwe matunda tu!
2. Kula ugali / wali Mara chache mchana
3. Kwepa ma Chapati mengi asubuhi
Nlijaribu matunda kipindi flan ikifika saa tisa naamka hiyo njaaa.

Mi nishazoea ugali au wali maana zinanipa uwanda mpana wa kuchagua mboga
 
Back
Top Bottom