Dawa ya UKIMWI

Dawa ya UKIMWI

Ze mimi

Senior Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
127
Reaction score
16
Wajamen naomba kujuzwa ile dawa ya vvu iliyotangazwa kugunduliwa miaka ya 2008s na mashirika makubwa dunian ya habar kama BBC&DW iliishia wapi?
 
Kwani ya babu wa loliondo vipi? Kuna uzi wa juzi juzi utafute.
 
Kula balanced diet. kunywa maji mengi. kula mbogamboga everyday viazi vikuu, bitroot, yoghout + asali. utaongeza % ya kinga. Dawa bado sana. Mwingine anayejua vyakula vya kuongeza CD4 aongeze kwenye list
 
Kula Majani ya mronge,kula binzari ktk chakula,Asali Daily,vitunguu swaumu,epuka pombe,ngono zembe,
mche mungu wako kwa sana. utashangaa siku zinasonga,wazima unawasindikiza makaburini.
 
NB.l'm not ill
 
Kula Majani ya mronge,kula binzari ktk chakula,Asali Daily,vitunguu swaumu,epuka pombe,ngono zembe,
mche mungu wako kwa sana. utashangaa siku zinasonga,wazima unawasindikiza makaburini.

Mi sio ngonjwa,nilitaka kujua
 
Kula balanced diet. kunywa maji mengi. kula mbogamboga everyday viazi vikuu, bitroot, yoghout + asali. utaongeza % ya kinga. Dawa bado sana. Mwingine anayejua vyakula vya kuongeza CD4 aongeze kwenye list
viazi vitamu,asali asubuhi na jioni vijiko japo 2x2 ,mazoezi japo ya nusu saa,usivute,usinywe pombe,kubwa sana muombe mungu msamaha kwa siri,ukimuomba akuponye,inshaallah atakuponya,yy ni daktari wa madaktari
 
Dawa bado ila matumaimi yapo.
La muhhimu ni kuendelea kufuata ushauri wa wataalamu wa afya mpaka itakapokuwa vinginevyo.
 
Sijajua namna ya kutumia huduma ya PM,nifahamishe

Usimtumie pm kama anataka kukusaidia angesema wazi, usije ukauziwa dawa feki.

Mtu akikuomba uwa pm mara nyingi angalia kama hiyo kitu ni vipi, na fikiria kwanini hataki wengine wajue etc. Dawa sio siri au maelezo ya tiba.
 
Back
Top Bottom