Dawa ya mimea passion

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
156
Habari za asubuhi wadau?
Ni dawa gani nzuri kwa kuzuia kudondoka kwa maua ya passion na matunda yakiwa bado machanga?
Dawa za fungus (ukungu) na bacteria (wadudu) wanaoshambulia majani.

Nina passion miche 10 nilipanda nyumbani kwa ajili ya watoto, inatoa vikonyo vingi sana kwa ajili ya maua/ matunda kiasi kwamba katika kila baada ya urefu wa sentimeta 15-20 kunakuwa na sehemu ya ua/tunda.
Inapendeza sana, lakini maua mengi na/ au matunda machanga yanadondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…