L lelo1 JF-Expert Member Joined Feb 23, 2014 Posts 584 Reaction score 483 Mar 21, 2015 #1 Asalaam.. Nimetumia aina mbalimbali za mafuta lakini sijafanikiwa kupona...nitumie dawa gani ili niondokane na mba hawa kichwani??
Asalaam.. Nimetumia aina mbalimbali za mafuta lakini sijafanikiwa kupona...nitumie dawa gani ili niondokane na mba hawa kichwani??
Bushloiaz JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 904 Reaction score 1,225 Mar 21, 2015 #2 Nawa kichwa kwa maji na sabuni kausha maji halafu chukua dettol ya maji jipake kichwa chote kama ni jioni lala bila kunawa hadi asubuhi fanya hivyo kwa wiki halafu leta mrejesho.
Nawa kichwa kwa maji na sabuni kausha maji halafu chukua dettol ya maji jipake kichwa chote kama ni jioni lala bila kunawa hadi asubuhi fanya hivyo kwa wiki halafu leta mrejesho.
Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,114 Reaction score 34,956 Apr 22, 2015 #3 lelo1 said: Asalaam.. Nimetumia aina mbalimbali za mafuta lakini sijafanikiwa kupona...nitumie dawa gani ili niondokane na mba hawa kichwani?? Click to expand... Ukitaka dawa ya Mba ninayo nitafute mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
lelo1 said: Asalaam.. Nimetumia aina mbalimbali za mafuta lakini sijafanikiwa kupona...nitumie dawa gani ili niondokane na mba hawa kichwani?? Click to expand... Ukitaka dawa ya Mba ninayo nitafute mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 996 Apr 22, 2015 #4 lelo1 said: Asalaam.. Nimetumia aina mbalimbali za mafuta lakini sijafanikiwa kupona...nitumie dawa gani ili niondokane na mba hawa kichwani?? Click to expand... Pakaa mafuta ya asili ya nazi. Hakika hakuna dawa nzuri ya mba au tatizo lolote la ngozi kama mafuta asili ya nazi. Kama utayahitaji na huwezi kujitengenezea mwenyewe basi nitafute kwenye whatsapp kwa namba hii +255769142586
lelo1 said: Asalaam.. Nimetumia aina mbalimbali za mafuta lakini sijafanikiwa kupona...nitumie dawa gani ili niondokane na mba hawa kichwani?? Click to expand... Pakaa mafuta ya asili ya nazi. Hakika hakuna dawa nzuri ya mba au tatizo lolote la ngozi kama mafuta asili ya nazi. Kama utayahitaji na huwezi kujitengenezea mwenyewe basi nitafute kwenye whatsapp kwa namba hii +255769142586
Humble African JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 4,781 Reaction score 14,442 Apr 22, 2015 #5 Nitakupa dawa ya mba safi yenye uhakika na safi. Usipopona baada ya wiki moja ya matumizi nakurudishia pesa yako! Kila la kheri!
Nitakupa dawa ya mba safi yenye uhakika na safi. Usipopona baada ya wiki moja ya matumizi nakurudishia pesa yako! Kila la kheri!
Humble African JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 4,781 Reaction score 14,442 Apr 22, 2015 #6 lelo1 said: Asalaam.. Nimetumia aina mbalimbali za mafuta lakini sijafanikiwa kupona...nitumie dawa gani ili niondokane na mba hawa kichwani?? Click to expand... Ninayo dawa makini kabisa, utatumia kwa wiki moja usipopona ndani ya wiki nakurudishia pesa yako!
lelo1 said: Asalaam.. Nimetumia aina mbalimbali za mafuta lakini sijafanikiwa kupona...nitumie dawa gani ili niondokane na mba hawa kichwani?? Click to expand... Ninayo dawa makini kabisa, utatumia kwa wiki moja usipopona ndani ya wiki nakurudishia pesa yako!
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Apr 22, 2015 #7 Dawa ni usafi tu, mengine yote ya kina MziziMkavu WATAKULIA PESA YAKO TU.