Dawa ya maumivu ya magoti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya maumivu ya magoti

Discussion in 'JF Doctor' started by no9, Apr 24, 2012.

 1. no9

  no9 Senior Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama kunamtaalamu ugonjwa huu naomba msaada inapofika majira ya alfajiri saa 10-12 nasikia maumivu makali kwenye magoti kama mtu anakoka moto nejaribu kupima vipimo km s.uric acid----280 umol/l,fbs--hb%5.3mmol/l,bunn--2.5mmol/l,s creatinine--70 umol/l,s cholesterol 4.7mml/l.mtalaamu uanaweza anzia hapa siku nikipiga vicastle vye kama vile nimeongeza petrol kwenye moto naomba kuwasilisha wadau.
   
 2. no9

  no9 Senior Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanajf hawa madr vipi wako kwenye mgomo hatammoja wa kunifariji
   
 3. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nenda hospitali kacheck mifupa hiyo!Inawezekana joint ya magoti ina tatizo.
   
 4. K

  KENTUS Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  pole sana mkuu yaliyokupata. tatizo lako huwakumba wengi nyakati hizi kwani chakula cha sasa hakitoshi na hakikidhi mahitaji ya mwili kwa kila siku kwa sababu watu wengi wanakula sumu nyingi na hakuna harakati za kuiondoa hiyo sumu miilini mwao.kama unaweza jaribu tiba mbadala, kwani nahisi utakuwa umepungukiwa madini chokaa(calcium) pia ile fruid ya kwenye joint itakuwa imepote hivyo kama unaweza jaribu TIENS/TIANSHI huwa wanashauri watu na kutoa huduma ya kupima na kuona tatizo ni lipi pia hutoa huduma kama unaihitaji. waweza niambia ulipo ili nikuelekeze ofisi zao zilizokaribu na wewe kawa huzifahamu au tembelea www.tiens.com , www.aftiens.com au ni sms kwa 0755569494
   
Loading...