Dawa ya mapenzi

Masharti ya mganga ndivyo yanavyosema lakini

Mganga wa nini?? Kama demu amekataa angesepa,kuendelea kumtongoza ni kufanya demu avimbe bichwa.
Angekuwa mjanja angemtafuta demu mwingine mkali hapo hapo kitaa,mbona later mambo yangejipa tu.
 

Wanawake ndo wanatakiwa watumie dawa za mapenzi..wanaume watafute hela tu!
 
Hahahahaaah,,,,,,,mtaibiwa sana na hao wamasai.
 
hao wamasai wangekua na hizo dawa si tungewaona na mademu wakali mjini hapa... mbona kila siku wanawatolea madem zetu mate
 
teh teh teh....afadhali umetoa na maana ya hii hadithi...
 
mapenz ya kweli ni ya kukubaliana kila mmoja akiwa timamu na consiciously bila kushawishiwa kwa pesa, dawa au vyovyote.
Ila dawa ya mapenzi ipo mi nimeshuhudia mama mmoja anawapa vijana dawa na ukiitumia demu anakuganda ile mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…