Dawa ya mademu wa mizinga

Hivi ni kwamba wanaume siku hizi hawana hela ama? maana hata sielewi kila siku story za kuchunwa, mizinga eeeh acheni ubahili basiii.
Nyie mbona mnapewa na kufanyiwa msivyostahili?
 
Hivi ni kwamba wanaume siku hizi hawana hela ama? maana hata sielewi kila siku story za kuchunwa, mizinga eeeh acheni ubahili basiii.
Nyie mbona mnapewa na kufanyiwa msivyostahili?

Tunapewa ama tunapeana?
 
Ukiona mtu anakujibu hivyo ujue keshakutoa moyoni, japo katika matatizo busara inatakiwa..
 
a enjoy nini sasa msibani?
wanaume wanapochoka kuwa wanaume bana
Nalipenda jina lako.wadada wa jina lako wanakuaga very smart ..Mwalu a.k.a N'gwalu yaani dhahabu..Hayo majina yamejaa sana Ikungulyabashashi kwa kina Nyani Ngabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…