chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,331 Reaction score 25,804 Sep 3, 2017 #21 Acteric ya maji pia Ni nzuri unamwaga mahindi then unayapulizia na solo.
amount JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 400 Reaction score 723 Oct 26, 2022 #22 DR. MWAKABANJE said: Kama ni mengi na ni ya biashara vidoge ndo suluhisho bei ni za kawaida 30,000 gunia mia miezi hadi minne na haina usumbufu kwani unaweka vidoge kwenye staker unafuka na turubai hapo hata paka akikatiza anakufa lakini mifuko ni ghari Sana Click to expand... Mkuu tupe jina la hvyo vidonge na umesema haviwekwi ndani ya mifuko unaweviweka kwenye stacker sindio yaani akti ya mfuko na mfuko au
DR. MWAKABANJE said: Kama ni mengi na ni ya biashara vidoge ndo suluhisho bei ni za kawaida 30,000 gunia mia miezi hadi minne na haina usumbufu kwani unaweka vidoge kwenye staker unafuka na turubai hapo hata paka akikatiza anakufa lakini mifuko ni ghari Sana Click to expand... Mkuu tupe jina la hvyo vidonge na umesema haviwekwi ndani ya mifuko unaweviweka kwenye stacker sindio yaani akti ya mfuko na mfuko au
MOMPRENEUR Senior Member Joined Jun 18, 2016 Posts 193 Reaction score 127 Oct 28, 2022 #23 amount said: Mkuu tupe jina la hvyo vidonge na umesema haviwekwi ndani ya mifuko unaweviweka kwenye stacker sindio yaani akti ya mfuko na mfuko au Click to expand... Ukienda duka la pembejeo ukiwauliza tu unavipata....viko poa
amount said: Mkuu tupe jina la hvyo vidonge na umesema haviwekwi ndani ya mifuko unaweviweka kwenye stacker sindio yaani akti ya mfuko na mfuko au Click to expand... Ukienda duka la pembejeo ukiwauliza tu unavipata....viko poa
Masokwe JF-Expert Member Joined Mar 30, 2019 Posts 454 Reaction score 685 Nov 1, 2022 #24 Kwa haya madawa inabidi kula ugali kwa tahadhari sana, baada ya miaka kadhaa lazima watu waumwe magonjwa ya ajabu ajabu sana
Kwa haya madawa inabidi kula ugali kwa tahadhari sana, baada ya miaka kadhaa lazima watu waumwe magonjwa ya ajabu ajabu sana
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 11,001 Reaction score 23,518 Jan 23, 2023 #25 Kv-london said: Au yakoboe tu hapo utakuwa umepona Ila kwa Kule kwetu moshi tunawekaga mahindi kwenye mapipa ya chuma miaka 500000 nenda ulaya rudi indi liko mukide Mpe anae kupa Click to expand... Unayopicha ya hayo mapipa na ni bei gani ?!
Kv-london said: Au yakoboe tu hapo utakuwa umepona Ila kwa Kule kwetu moshi tunawekaga mahindi kwenye mapipa ya chuma miaka 500000 nenda ulaya rudi indi liko mukide Mpe anae kupa Click to expand... Unayopicha ya hayo mapipa na ni bei gani ?!
J Johnny Sack JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 9,347 Reaction score 20,053 Jan 25, 2023 #26 Zemanda said: Unayopicha ya hayo mapipa na ni bei gani ?! Click to expand... Pipa moja ni 30,000
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,657 Reaction score 3,782 Nov 24, 2024 #27 mojave said: brain is the beautiful part of the body. Click to expand... Asante mkuu