Dawa ya kuzuia kipara (uwaraza)

Dawa ya kuzuia kipara (uwaraza)

David Harvey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
3,120
Reaction score
6,785
Kuna mtu anafahamu dawa ya kuzuia kipara?

Vyuma vimekaza upara nao unaanza kuja kwa spidi!

Mwenyewe dawa naomba anisaidie aisee
 
Chukua kitunguu maji then kisage au kisugue kwenye kile cha sugulia nyanya... Halafu kichuje kwenye chujio then jipake sehemu unayota iote nywele... Au unaweza ukapaka bila kuchuja lakn kitunguu huwa na tabia ya kung'ang'ania kwenye nywele kikikauka kwaiyo kama haita kusumbua basi poa.. Kaa nusu saa then jisafishe na maji. Ila kama harufu itakusumbua ya kitunguu unaweza osha na shampoo..

Pia kama utakua na muda mwingi unaweza paka ukaa nayo hata siku nzima au masaa kwa week unaweza paka mara moja Kwa week ila haina limitation unaweza paka hata kila siku..

After two weeks come with feedback... & 100% it will be +
 
Chukua kitunguu maji then kisage au kisugue kwenye kile cha sugulia nyanya... Halafu kichuje kwenye chujio then jipake sehemu unayota iote nywele... Au unaweza ukapaka bila kuchuja lakn kitunguu huwa na tabia ya kung'ang'ania kwenye nywele kikikauka kwaiyo kama haita kusumbua basi poa.
MMMH
 
Asante sana ngoja nikatumie then nitaleta feedback
 
Chukua kitunguu maji then kisage au kisugue kwenye kile cha sugulia nyanya... Halafu kichuje kwenye chujio then jipake sehemu unayota iote nywele... Au unaweza ukapaka bila kuchuja lakn kitunguu huwa na tabia ya kung'ang'ania kwenye nywele kikikauka kwaiyo kama haita kusumbua basi poa.. Kaa nusu saa then jisafishe na maji.. Ila kama harufu itakusumbua ya kitunguu unaweza osha na shampoo.. Pia kama utakua na muda mwingi unaweza paka ukaa nayo hata siku nzima au masaa kwa week unaweza paka mara moja Kwa week ila haina limitation unaweza paka hata kila siku..

After two weeks come with feedback... & 100% it will be +

Ningependa kujua hio kazi ya kitunguu.

Je kinazuia nywele kung'oka au Kinaotesha nywele?
 
We mwongo.
 
Nitaleta mrejesho
 
Ningependa kujua hio kazi ya kitunguu.

Je kinazuia nywele kung'oka au Kinaotesha nywele?
Inaotesha kabisa.... Mi nilisha fanya hii na naendelea kufanya na nimeona matokeo
 
Kuna mtu anafahamu dawa ya kuzuia kipara?
Vyuma vimekaza upara nao unaanza kuja kwa spidi!!
Mwenyewe dawa naomba anisaidie aisee
Waweza tumia mafuta ya mnyonyo(castor oil)nayo yanasaidia sana..vzuri uyapate yale yanayopatikana maduka ya dawa za asili
 
Back
Top Bottom