Dawa ya kuvimbisha vidole kwa muda

Tumia akili

Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
67
Reaction score
1,552
Habari wana JF!

Ninahitaji msaada wa kupata dawa ya kivimbisha vidole vya miguuni. Kwa miaka sasa miguu yangu imekuwa na sugu zisizoisha. Ilitokea siku moja nilijigonga na kidole kimoja cha katikati cha mguu kikavimba na baada ya wiki mbili ule uvimbe ulipona kabisa na hapo hata zile sugu zikawa zimeisha.

Sugu hizi zilianza miaka zaidi ya 10 iliyopita na kila nilipojaribu kuzisugua taratibu ili ziishe imeshindikana. Ninaamini nikipata dawa inayoweza kuvimbisha vidole kwa wiki mbili zitakuwa zimeisha zote.

Asanteni!
 
Tumia akili,,tumia akili yako bwana,ulijigonga kidole kikavimba,sugu ikaisha!Dawa ipi tena ya kuvimbisha vidole unaitaka?Tafuta jiwe au nyundo jigonge tena,basi!!

Kama shida yako ni kuondoa sugu,omba ushauri wa jinsi ya kuondoa sugu wataalamu watakusaidia,lakini kuvimbisha vidole!Kama jiwe hamna tafuta hata tofali jigonge!
 
Last edited by a moderator:
We mwanaume au mwanamke ??? Km vipi paka dawa za kuvimbisha makalio..but ts sound non sense...mbona sugu sI kitu cha ajabu hivyo..yani uvivimbishe bila sababu yakikukuta madhara..tafuta dawa za kuondoa sugu....watu wengine bana
 
We mwanaume au mwanamke ??? Km vipi paka dawa za kuvimbisha makalio..but ts sound non sense...mbona sugu sI kitu cha ajabu hivyo..yani uvivimbishe bila sababu yakikukuta madhara..tafuta dawa za kuondoa sugu....watu wengine bana

Mkuu naomba nisaidie daw, asante!
 
Mkuu naomba nisaidie daw, asante!

Mkuu huwezi kuamini, lakini unaweza jaribu hii. Simple nunua vaseline kubwa hakikisha unapaka unyayo wote juu na chini mara mbili kwa siku jioni kabla ya kulala na asubuhi kabla ya kwenda kwenye mihangaiko. Hakikisha unavaa soksi baada ya kupaka hiyo vaseline. Wiki tatu turudishie majibu.......... ni zoezi rajhisi na gharama yake ni vaseline tu.
 

Asante mkuu, nitaifanyia kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…