Larusai Mux
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 980
- 280
mbona ni balaa na nna miaka mingi sijaarisha wala kutapika mkuu,nashkuru kwa ushauriKama unataka kuharisha kunywa mafuta ya Mzaituni [Olive] saa 10 alfajiri hakikisha choo ni cha peke yako na ukitaka kuhara kukate kula kitu chochote.
Nb: utachamba hadi kijambio kiume.
Salam wakuu,
ni siku ya tano sasa nasumbuliwa na kiungulia(bile......),haijalishi nimekula aina gani ya chakula basi ni shida tu.
Nimejaribu kuomba ushauri kwa watu nao wakasema ni tumbo chafu hivyo inabidi nitapike au niharishe ili uchafu uishe,
naombeni ushauri zaidi na tiba husika.
Shukrani
Tumia Alovera juice nakuhakikishia itakusaidia Sana. Ni PM ukihitaji nikuletee popote ulipo
Kama unataka kuharisha kunywa mafuta ya Mzaituni [Olive] saa 10 alfajiri hakikisha choo ni cha peke yako na ukitaka kuhara kukate kula kitu chochote.
Nb: utachamba hadi kijambio kiume.
Salam wakuu,
ni siku ya tano sasa nasumbuliwa na kiungulia(bile......),haijalishi nimekula aina gani ya chakula basi ni shida tu.
Nimejaribu kuomba ushauri kwa watu nao wakasema ni tumbo chafu hivyo inabidi nitapike au niharishe ili uchafu uishe,
naombeni ushauri zaidi na tiba husika.
Shukrani
Salam wakuu,
ni siku ya tano sasa nasumbuliwa na kiungulia(bile......),haijalishi nimekula aina gani ya chakula basi ni shida tu.
Nimejaribu kuomba ushauri kwa watu nao wakasema ni tumbo chafu hivyo inabidi nitapike au niharishe ili uchafu uishe,
naombeni ushauri zaidi na tiba husika.
Shukrani
kunywa maji glass mbili alfajiri km saa 11 utapata choo fasta then utakuwa fresh
Nishatumiaga Castor Oil....kule kulikonikuta ni zaidi ya kuharisha...I would advise uitumie pia.
Kuna mtu alikuja nayo nyumbani. Sikuuliza alipoyatoa.Ulienda kununua wapi haya mafuta? Kwenye pharmacy hizi za kawaida ama tuba asili ama mpaka kariakoo.
Na pia, ulitumia kipimo gani, ulikunywaje yani.
Mwisbo, nimeona kuna ya kijani na mengije meusi.. Yapi ndio yanafaa kunywa kutibu choo.
Kuna mtu alikuja nayo nyumbani. Sikuuliza alipoyatoa.
Nilikunywa kijiko kimoja tu cha chakula.
Sikumbuki rangi ya chupa ila nakumbuka yenyewe hayakuwa na rangi, kama maji
maji moto akiweza aweke na limao kwa ladhakunywa maji glass mbili alfajiri km saa 11 utapata choo fasta then utakuwa fresh