Habari zenu wakuu naombeni anayeweza kunielekeza dawa ya kusafisha sofa za kitambaa .Nasikia kariakoo zipo Ila ndio sijui nikienda ntaulizia je na jina lake silijui,na he tuitumiaje. Ntashukuru kwa msaada wenu
Inauzwa 5000 tu ni kama spray tu huwa naitumia.
Nenda kariakoo mtaa wa Agrey na Likoma (kule kwenye maduka ya vifaa vya simu) kwenye hayo maduka ndio wanauza maana inatumika pia kusafishia vioo, vitu kama TV nk