MAKANJAMNA
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,138
- 1,515
Kuna ndugu yangu wa karibu (binamu) anahangaika sana na unene.. anapata matatizo kwenye ndoa yake due to underperformance, anaomba ushauri wa jinsi ya kuupunguza mwili wake. kama ikiwezekana kwa njia ya dawa, coz mazoezi anadai yeye ni mvivu sana ( anataka Big Results Now).
so kama kuna uwezekano wa contacts au dawa mnayoijua wadau anaomba msaada..
nawasiliisha.
cc: mzizimkavu
so kama kuna uwezekano wa contacts au dawa mnayoijua wadau anaomba msaada..
nawasiliisha.
cc: mzizimkavu