kumbe hata umalaya huwa mnafundishana!Ndugu wanajamvi;Najua wengi wapo katika mahusiano lakini anajua fika kabisa hana mpango wa kuoa au kuolewa na huyo mpenzi wake kabsa. Ila unajikuta unashindwa kuzuia wivu wa kimapenzi kwa mtu wako,haina haja kuumia kihiivo , dawa ni kuwa nao zaidi ya mmoja hii inapunguza kukaa na kumuwaza mtu mmoja mda mwingi,
badala yake utawachukulia poa wote na kuconcetrate kwenye mishe zako nyingine.Ila kama kama uliye naye ndo present na future yako hauna budi kuzikabili changamoto.
Aisee...
Ndio Maana demu wangu hata nimfanyie visa gani.... Atachukia lakin nikimowmba msamaha yanaisha....
NAFIKIRI HUWA ANAWAZA :
"Nikisema niachane na huyu gentleman nitampata wapi tena Engineer kama huyu "
Basi mimi ndio NAPATA KICHWA KISHENZ YAAN.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
ukizingatia magonjwa yanayosumbua jamii kwa sasa, kubadilika kwa misimamo ya kijamii kwa sasa (mf. kuongezeka kwa familia za upande mmoja) unauonaje ushauri wako wa kuwa na wanaume wengi kwa mwelekeo huo?ila ndo ukweli ,wengi hatupendi uwekwe wazi
akili za kuambiwa changanya na zakoukizingatia magonjwa yanayosumbua jamii kwa sasa, kubadilika kwa misimamo ya kijamii kwa sasa (mf. kuongezeka kwa familia za upande mmoja) unauonaje ushauri wako wa kuwa na wanaume wengi kwa mwelekeo huo?
sawa ila shida yangu mara kadhaa nimewashuhudia vijana wa umri wa kidato cha 3-4 wakijadili hoja zenu za jukwaa pendwa hao uwezo wao wa kuchanganya na zao ni mdogo ukizingatia wapo kipindi cha kufanyia kazi maudhui ya hoja yako nadhani ni vema mkawasisitizia pia angalau ngono salama mnapotoa mada kama hizi...akili za kuambiwa changanya na zako
πsawa ila shida yangu mara kadhaa nimewashuhudia vijana wa umri wa kidato cha 3-4 wakijadili hoja zenu za jukwaa pendwa hao uwezo wao wa kuchanganya na zao ni mdogo ukizingatia wapo kipindi cha kufanyia kazi maudhui ya hoja yako nadhani ni vema mkawasisitizia pia angalau ngono salama mnapotoa mada kama hizi...
Ndugu wanajamvi,
Najua wengi wapo katika mahusiano lakini anajua fika kabisa hana mpango wa kuoa au kuolewa na huyo mpenzi wake kabisa. Ila unajikuta unashindwa kuzuia wivu wa kimapenzi kwa mtu wako.
Haina haja kuumia kihiivo, dawa ni kuwa nao zaidi ya mmoja hii inapunguza kukaa na kumuwaza mtu mmoja mda mwingi, badala yake utawachukulia poa wote na kuconcetrate kwenye mishe zako nyingine. Ila kama kama uliye naye ndo present na future yako hauna budi kuzikabili changamoto.
Changamoto ni mpunga na gemu zuri kitandaniNi changamoto kama the feeling is not mutual.