M mbongombishi JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 593 Reaction score 310 Nov 10, 2021 #1 Habarini wandugu. Naomba kujulishwa dawa ya alergy ya vumbi (kupiga chafya sana kutokana na vumbi au harufu kali) ni nini. Pia dawa ya kuondoa weusi katikati ya mapaja (ukijikuna unatoka unga unga) ni nini? Natanguliza shukurani wandugu.
Habarini wandugu. Naomba kujulishwa dawa ya alergy ya vumbi (kupiga chafya sana kutokana na vumbi au harufu kali) ni nini. Pia dawa ya kuondoa weusi katikati ya mapaja (ukijikuna unatoka unga unga) ni nini? Natanguliza shukurani wandugu.
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 13,015 Reaction score 27,117 Nov 15, 2021 #2 Nunua serum ya B.B clear uwe unapaka Kila siku mara 2
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 78,979 Reaction score 236,720 Nov 15, 2021 #3 Njia pekee ya kuzuia vumbi ni kutokaa karibu na vumbi ama tumia barakoa maeneo yenye vumbi. Otherwise, lazima tu upige chafya, mwili unareact. Pia jaribu kutumia nasal sprays,zinasaidia kwa kiasi kupunguza allergic reactions.
Njia pekee ya kuzuia vumbi ni kutokaa karibu na vumbi ama tumia barakoa maeneo yenye vumbi. Otherwise, lazima tu upige chafya, mwili unareact. Pia jaribu kutumia nasal sprays,zinasaidia kwa kiasi kupunguza allergic reactions.
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,359 Reaction score 56,208 Nov 15, 2021 #4 Imarisha usafi unakaa kwenye vumbi hence chafya, huogi vizuri na kupaka mafuta hence kujikuna