TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Ili iwe Fundisho Mimi Ningeshauri, Na ningekuwepo kama Mbunge wa Upinzani Ningefanya hivi. Wabunge wote Wanaume Wabebe Mikongoji heavy duty. Maana mbona akina Mkono wanabeba Kifimbo. Na wabunge wamama wavae Mikanda yenye bakoli nzito. Halafu wavae suruali.
Sasa Iwapo itatokea Tena Mpuuzi yeyote kuleta askari bungeni (Sio wale askari wa Bunge) Basi wapigeni kwa Mikongoji, Bakoli za Mikanda na hata mkiwavunja mafuvu hawa mbwa sawa tu. Baada ya hapo nawahakikishia CCM hawatakaa kuchezea Demokrasia na Amani ya nchi. Hii Kuiba Kura nk. Ni kwa kuwa wameshaamini they can get away with it.
Sasa wakijua Kuwa Hawawezi Kuwashitaki Mahakamani kwa Kumtwangia Askari Haramu hapo Ukumbini, Watashika Adabu.
Really Toby? "Yes Nimesema hivi Nikiwa Na akili yangu timamu.
Mkongojo Kama Huu, Msibebe yenye Visu, Watawasingizia ninyi ni Magaidi.
Dada yangu Halima Mdee Huu mkanda Vipi, "Uwongo? Kweli?"