C Chief Platinum Member Joined Jun 5, 2006 Posts 3,958 Reaction score 3,704 May 19, 2023 #1 Huyu mdudu anakula mbao sana,kitanda, coffee table nk. Unasikia sauti inatoka ng'we, ng'we kwenye mbao ndio anakula hivyo. Dawa gani inafaa kutumia ?
Huyu mdudu anakula mbao sana,kitanda, coffee table nk. Unasikia sauti inatoka ng'we, ng'we kwenye mbao ndio anakula hivyo. Dawa gani inafaa kutumia ?
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,569 Reaction score 21,081 May 19, 2023 #2 Wakati mwingine tumia treated timber
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,495 Reaction score 19,343 May 19, 2023 #3 Oil chafu changanya na dizeli unaweka huko ndani walikojificha
C Chief Platinum Member Joined Jun 5, 2006 Posts 3,958 Reaction score 3,704 May 19, 2023 Thread starter #4 TAJIRI MKUU WA MATAJIRI said: Wakati mwingine tumia treated timber Click to expand... Hii ni coffe table niliyonunua ndio imeliwa hivyo.
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI said: Wakati mwingine tumia treated timber Click to expand... Hii ni coffe table niliyonunua ndio imeliwa hivyo.
C Chief Platinum Member Joined Jun 5, 2006 Posts 3,958 Reaction score 3,704 May 19, 2023 Thread starter #5 Nyumisi said: Oil chafu changanya na dizeli unaweka huko ndani walikojificha Click to expand... Unawekaje maana wanakuwa ndani kwa ndani mpaka utoboe/uchane mbao kama nikivyofanya ndio utagundua wamekula sana.
Nyumisi said: Oil chafu changanya na dizeli unaweka huko ndani walikojificha Click to expand... Unawekaje maana wanakuwa ndani kwa ndani mpaka utoboe/uchane mbao kama nikivyofanya ndio utagundua wamekula sana.
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,513 Reaction score 15,153 May 19, 2023 #6 Chief said: Unawekaje maana wanakuwa ndani kwa ndani mpaka utoboe/uchane mbao kama nikivyofanya ndio utagundua wamekula sana. Click to expand... Kumbe wewe ni chingaone
Chief said: Unawekaje maana wanakuwa ndani kwa ndani mpaka utoboe/uchane mbao kama nikivyofanya ndio utagundua wamekula sana. Click to expand... Kumbe wewe ni chingaone
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,495 Reaction score 19,343 May 19, 2023 #7 Chief said: Unawekaje maana wanakuwa ndani kwa ndani mpaka utoboe/uchane mbao kama nikivyofanya ndio utagundua wamekula sana. Click to expand... Huwa kuna tundu hivyo unanyunyiza humo hata na bomba la sindano
Chief said: Unawekaje maana wanakuwa ndani kwa ndani mpaka utoboe/uchane mbao kama nikivyofanya ndio utagundua wamekula sana. Click to expand... Huwa kuna tundu hivyo unanyunyiza humo hata na bomba la sindano
Bachelor ll JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 4,103 Reaction score 6,698 May 19, 2023 #8 Wauwe
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,597 Reaction score 60,826 May 19, 2023 #9 dumuzi hao, tumia diesel wanakera sana aisee
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,569 Reaction score 21,081 May 19, 2023 #10 Chief said: Hii ni coffe table niliyonunua ndio imeliwa hivyo. Click to expand... Pole sana