Ukikosa hapa Jukwaani Dawa ya chango la Kizazi mimi dawa ninayo ukitaka wasiliana na mimi Kwa kubonyeza hapa.MawasilianoHabarini wadau? nina mpenzi wangu ambaye anasumbuliwa sana na chango la uzazi. madaktari wamemwambia dawa pekee ni kuzaa. je,kwa wazoefu wa maswala ya kiafya,ni kweli kuwa hakuna dawa yoyote hata ya mitishamba inayoweza kusaidia? msaada tafadhali
Sorry hivi chango ndo nn, yaani anaumwaje hilo tumbo?
Ukikosa hapa Jukwaani Dawa ya chango la Kizazi mimi dawa ninayo ukitaka wasiliana na mimi Kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
UGONJWA WA CHANGO LA UZAZI -
Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.
DALILI ZAKE
- Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana.
- Pia mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha.
- Ni vigumu kumpa mimba mwanamke
- ​Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-
Madhara yake kwa mwanamke
- Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi
- Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa
- Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika
- Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi
- Kupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.
- Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
- Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.
- Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
- Kupata uvimbe kwenye kizazi
- Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi
- Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba
- Mwanaamke anaweza kuwa tasa kabisa
- Kuingia na kutoka kwa mimba
- Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni
- Kuwa na uke mdogo sana
Nenda Hospitali kapime ndipo utakapo gunduwa unaumwa Maradhi gani mzazaAisehhh, kama wewe ni mtaalamu wa afya tupe jina la ugonjwa tujue cha kufanya maana dalili ulizoandika zinaelezea magonjwa mengi na sio Mmoja.
Ukitaka Mawasiliano na mimi Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169yako wapi hayo mawasiliano?
Ukitaka Mawasiliano na mimi Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Dawa ya chango unitafute kwa wakati wako. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.sasa dawa ya chango ni nini?