Kumbe watu wenye akili kama hizi wapoNitangulize kusema kuwa ukitumia dawa sio kwamba kila kitu utakipata bila kutafuta kama wanavyo amini watu fulani kuwa ukiwa na dawa huwezi kupambana vitu vitakuwa vinakuja vyenyewe
Hapana kabisa
Ukiwa na dawa kupambana utapambana
Tena saana
Kazi ya dawa ni hipi
Dawa inakusaidia wewe kukutengenezea mazingira ili ukiwa una kutana na vikwazo vya kukukatisha tamaa au kukufelisha
Visikusumbuwe yaani njia iwe nyepesi kwako kwa kila jambo utakalo kuwa unafanya dawa inakupa bahati tu
Sasa dawa hii inahitaji uchafu wa sokoni
Na majani yeyote ambayo utaokota kwenye njia panda
Pamoja na mizizi ya mtu wowote ambao umepandwa kwenye kaburi
Na maji ya bahari
Dawa hii utafanya mfuke wakati wa usiku tena siku ya juma mosi kipindi cha mwezi ukiwa angani
Dawa hii utachukua maji yale na kuweka jikoni pamoja na dawa Hile
Unafanya mfuke kwa manuizi haya. Leo ni siku ya 1 ya mapumziko ya maisha yangu; Leo, ninaanza maisha mapya; Ninaishi siku hii kana kwamba ndiyo siku yangu ya mwisho; Nitaishi siku hii kwa moyo uliojaa upendo; Ninatabasamu maishani; Nikitaka kitu, ninao uwezo wa kukipata; Nahifadhi mpaka nifanikiwe; Nina haki ya kumnyima mtu kitu bila kupoteza upendo wake; Watu wengine pia wana haki ya kunikatalia kitu bila kuniathiri. ukiwa ndani ya mfuke uku ukizungusha maji yale
Na mti kwa manuizi
Maji yale utayamwamwaga chooni
Ukifanya dawa hii hakikisha usioge kipindi cha siku tatu
Na usikutane na mwanaume au mwanamke yeyote kwa kipindi cha siku hizo tatu wala kutoka ndani ya nyumba
Dawa hii itakupa bahati tu sio kwamba itakupa pesa
Sifa kubwa ya mtu mwongo lazima uwe na kumbu kumbu,uyu bwana Kuna Uzi wake anadai anaishi Canada.Baba yake alimtelekeza yeye mama yake pamoja na ndugu zake Saba [emoji2][emoji2]Kumbe watu wenye akili kama hizi wapo
Mkuu leta tuiuze humu JF🤣🤣🤣🤣Wadau wanapenda sana ngekewa🤣🤣🤣Tutapiga hela MkuuNitangulize kusema kuwa ukitumia dawa sio kwamba kila kitu utakipata bila kutafuta kama wanavyo amini watu fulani kuwa ukiwa na dawa huwezi kupambana vitu vitakuwa vinakuja vyenyewe Hapana kabisa Ukiwa na dawa kupambana utapambana Tena saana Kazi ya dawa ni hipi Dawa inakusaidia wewe kukutengenezea mazingira ili ukiwa una kutana na vikwazo vya kukukatisha tamaa au kukufelisha Visikusumbuwe yaani njia iwe nyepesi kwako kwa kila jambo utakalo kuwa unafanya dawa inakupa bahati tu
Sasa dawa hii inahitaji uchafu wa sokoni Na majani yeyote ambayo utaokota kwenye njia panda Pamoja na mizizi ya mtu wowote ambao umepandwa kwenye kaburi Na maji ya bahari Dawa hii utafanya mfuke wakati wa usiku tena siku ya juma mosi kipindi cha mwezi ukiwa angani Dawa hii utachukua maji yale na kuweka jikoni pamoja na dawa Hile
Unafanya mfuke kwa manuizi haya. Leo ni siku ya 1 ya mapumziko ya maisha yangu; Leo, ninaanza maisha mapya; Ninaishi siku hii kana kwamba ndiyo siku yangu ya mwisho; Nitaishi siku hii kwa moyo uliojaa upendo; Ninatabasamu maishani; Nikitaka kitu, ninao uwezo wa kukipata; Nahifadhi mpaka nifanikiwe; Nina haki ya kumnyima mtu kitu bila kupoteza upendo wake; Watu wengine pia wana haki ya kunikatalia kitu bila kuniathiri. ukiwa ndani ya mfuke uku ukizungusha maji yale
Na mti kwa manuizi Maji yale utayamwamwaga chooni Ukifanya dawa hii hakikisha usioge kipindi cha siku tatu
Na usikutane na mwanaume au mwanamke yeyote kwa kipindi cha siku hizo tatu wala kutoka ndani ya nyumba
Dawa hii itakupa bahati tu sio kwamba itakupa pesa
Huyu huyu mganga au🤣🤣🤣🤣🤣????Sifa kubwa ya mtu mwongo lazima uwe na kumbu kumbu,uyu bwana Kuna Uzi wake anadai anaishi Canada.Baba yake alimtelekeza yeye mama yake pamoja na ndugu zake Saba [emoji2][emoji2]
Ndio huyu huyu sangoma [emoji2][emoji2]Huyu huyu mganga au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]????
Sasa kwisha shida nini kijana wangu?Nitangulize kusema kuwa ukitumia dawa sio kwamba kila kitu utakipata bila kutafuta kama wanavyo amini watu fulani kuwa ukiwa na dawa huwezi kupambana vitu vitakuwa vinakuja vyenyewe Hapana kabisa Ukiwa na dawa kupambana utapambana Tena saana Kazi ya dawa ni hipi Dawa inakusaidia wewe kukutengenezea mazingira ili ukiwa una kutana na vikwazo vya kukukatisha tamaa au kukufelisha Visikusumbuwe yaani njia iwe nyepesi kwako kwa kila jambo utakalo kuwa unafanya dawa inakupa bahati tu
Sasa dawa hii inahitaji uchafu wa sokoni Na majani yeyote ambayo utaokota kwenye njia panda Pamoja na mizizi ya mtu wowote ambao umepandwa kwenye kaburi Na maji ya bahari Dawa hii utafanya mfuke wakati wa usiku tena siku ya juma mosi kipindi cha mwezi ukiwa angani Dawa hii utachukua maji yale na kuweka jikoni pamoja na dawa Hile
Unafanya mfuke kwa manuizi haya. Leo ni siku ya 1 ya mapumziko ya maisha yangu; Leo, ninaanza maisha mapya; Ninaishi siku hii kana kwamba ndiyo siku yangu ya mwisho; Nitaishi siku hii kwa moyo uliojaa upendo; Ninatabasamu maishani; Nikitaka kitu, ninao uwezo wa kukipata; Nahifadhi mpaka nifanikiwe; Nina haki ya kumnyima mtu kitu bila kupoteza upendo wake; Watu wengine pia wana haki ya kunikatalia kitu bila kuniathiri. ukiwa ndani ya mfuke uku ukizungusha maji yale
Na mti kwa manuizi Maji yale utayamwamwaga chooni Ukifanya dawa hii hakikisha usioge kipindi cha siku tatu
Na usikutane na mwanaume au mwanamke yeyote kwa kipindi cha siku hizo tatu wala kutoka ndani ya nyumba
Dawa hii itakupa bahati tu sio kwamba itakupa pesa
Link ya Uzi wake wa Canada hii hapa ,[emoji116][emoji116][emoji2]Ndio huyu huyu sangoma [emoji2][emoji2]
haha nimecheka jamanLink ya Uzi wake wa Canada hii hapa ,[emoji116][emoji116][emoji2]
Naombeni ushauri: Mama hataki kabisa kumsamehe Baba wala kumsaidia chochote
Mwaka 2014 baba yangu na mama yangu waliachana tena kwa talaka baba akaenda kuoa mwanamke mwingine uko Mama tukabaki naye nyumbani akabaki analea watoto wake kwenye familia yetu tuko watoto 8 wa kiume 6 wakike 2 sasa mama alioana akiolewa na watoto hao hakuna mwanaume ambaye anaweza kuvumilia...www.jamiiforums.com
hahahaaha kwisha mzee wa michaiLink ya Uzi wake wa Canada hii hapa ,[emoji116][emoji116][emoji2]
Naombeni ushauri: Mama hataki kabisa kumsamehe Baba wala kumsaidia chochote
Mwaka 2014 baba yangu na mama yangu waliachana tena kwa talaka baba akaenda kuoa mwanamke mwingine uko Mama tukabaki naye nyumbani akabaki analea watoto wake kwenye familia yetu tuko watoto 8 wa kiume 6 wakike 2 sasa mama alioana akiolewa na watoto hao hakuna mwanaume ambaye anaweza kuvumilia...www.jamiiforums.com
Mganga toka Canada huyo 🤣.Sifa kubwa ya mtu mwongo lazima uwe na kumbu kumbu,uyu bwana Kuna Uzi wake anadai anaishi Canada.Baba yake alimtelekeza yeye mama yake pamoja na ndugu zake Saba [emoji2][emoji2]