Dawa ya bahati

Dawa ya bahati

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Nitangulize kusema kuwa ukitumia dawa sio kwamba kila kitu utakipata bila kutafuta kama wanavyo amini watu fulani kuwa ukiwa na dawa huwezi kupambana vitu vitakuwa vinakuja vyenyewe Hapana kabisa Ukiwa na dawa kupambana utapambana Tena saana Kazi ya dawa ni hipi Dawa inakusaidia wewe kukutengenezea mazingira ili ukiwa una kutana na vikwazo vya kukukatisha tamaa au kukufelisha Visikusumbuwe yaani njia iwe nyepesi kwako kwa kila jambo utakalo kuwa unafanya dawa inakupa bahati tu

Sasa dawa hii inahitaji uchafu wa sokoni Na majani yeyote ambayo utaokota kwenye njia panda Pamoja na mizizi ya mtu wowote ambao umepandwa kwenye kaburi Na maji ya bahari Dawa hii utafanya mfuke wakati wa usiku tena siku ya juma mosi kipindi cha mwezi ukiwa angani Dawa hii utachukua maji yale na kuweka jikoni pamoja na dawa Hile

Unafanya mfuke kwa manuizi haya. Leo ni siku ya 1 ya mapumziko ya maisha yangu; Leo, ninaanza maisha mapya; Ninaishi siku hii kana kwamba ndiyo siku yangu ya mwisho; Nitaishi siku hii kwa moyo uliojaa upendo; Ninatabasamu maishani; Nikitaka kitu, ninao uwezo wa kukipata; Nahifadhi mpaka nifanikiwe; Nina haki ya kumnyima mtu kitu bila kupoteza upendo wake; Watu wengine pia wana haki ya kunikatalia kitu bila kuniathiri. ukiwa ndani ya mfuke uku ukizungusha maji yale

Na mti kwa manuizi Maji yale utayamwamwaga chooni Ukifanya dawa hii hakikisha usioge kipindi cha siku tatu
Na usikutane na mwanaume au mwanamke yeyote kwa kipindi cha siku hizo tatu wala kutoka ndani ya nyumba

Dawa hii itakupa bahati tu sio kwamba itakupa pesa
 
Nitangulize kusema kuwa ukitumia dawa sio kwamba kila kitu utakipata bila kutafuta kama wanavyo amini watu fulani kuwa ukiwa na dawa huwezi kupambana vitu vitakuwa vinakuja vyenyewe
Hapana kabisa
Ukiwa na dawa kupambana utapambana
Tena saana
Kazi ya dawa ni hipi
Dawa inakusaidia wewe kukutengenezea mazingira ili ukiwa una kutana na vikwazo vya kukukatisha tamaa au kukufelisha
Visikusumbuwe yaani njia iwe nyepesi kwako kwa kila jambo utakalo kuwa unafanya dawa inakupa bahati tu

Sasa dawa hii inahitaji uchafu wa sokoni
Na majani yeyote ambayo utaokota kwenye njia panda
Pamoja na mizizi ya mtu wowote ambao umepandwa kwenye kaburi
Na maji ya bahari
Dawa hii utafanya mfuke wakati wa usiku tena siku ya juma mosi kipindi cha mwezi ukiwa angani
Dawa hii utachukua maji yale na kuweka jikoni pamoja na dawa Hile
Unafanya mfuke kwa manuizi haya. Leo ni siku ya 1 ya mapumziko ya maisha yangu; Leo, ninaanza maisha mapya; Ninaishi siku hii kana kwamba ndiyo siku yangu ya mwisho; Nitaishi siku hii kwa moyo uliojaa upendo; Ninatabasamu maishani; Nikitaka kitu, ninao uwezo wa kukipata; Nahifadhi mpaka nifanikiwe; Nina haki ya kumnyima mtu kitu bila kupoteza upendo wake; Watu wengine pia wana haki ya kunikatalia kitu bila kuniathiri. ukiwa ndani ya mfuke uku ukizungusha maji yale
Na mti kwa manuizi
Maji yale utayamwamwaga chooni
Ukifanya dawa hii hakikisha usioge kipindi cha siku tatu
Na usikutane na mwanaume au mwanamke yeyote kwa kipindi cha siku hizo tatu wala kutoka ndani ya nyumba

Dawa hii itakupa bahati tu sio kwamba itakupa pesa
Kumbe watu wenye akili kama hizi wapo
 
Nitangulize kusema kuwa ukitumia dawa sio kwamba kila kitu utakipata bila kutafuta kama wanavyo amini watu fulani kuwa ukiwa na dawa huwezi kupambana vitu vitakuwa vinakuja vyenyewe Hapana kabisa Ukiwa na dawa kupambana utapambana Tena saana Kazi ya dawa ni hipi Dawa inakusaidia wewe kukutengenezea mazingira ili ukiwa una kutana na vikwazo vya kukukatisha tamaa au kukufelisha Visikusumbuwe yaani njia iwe nyepesi kwako kwa kila jambo utakalo kuwa unafanya dawa inakupa bahati tu

Sasa dawa hii inahitaji uchafu wa sokoni Na majani yeyote ambayo utaokota kwenye njia panda Pamoja na mizizi ya mtu wowote ambao umepandwa kwenye kaburi Na maji ya bahari Dawa hii utafanya mfuke wakati wa usiku tena siku ya juma mosi kipindi cha mwezi ukiwa angani Dawa hii utachukua maji yale na kuweka jikoni pamoja na dawa Hile

Unafanya mfuke kwa manuizi haya. Leo ni siku ya 1 ya mapumziko ya maisha yangu; Leo, ninaanza maisha mapya; Ninaishi siku hii kana kwamba ndiyo siku yangu ya mwisho; Nitaishi siku hii kwa moyo uliojaa upendo; Ninatabasamu maishani; Nikitaka kitu, ninao uwezo wa kukipata; Nahifadhi mpaka nifanikiwe; Nina haki ya kumnyima mtu kitu bila kupoteza upendo wake; Watu wengine pia wana haki ya kunikatalia kitu bila kuniathiri. ukiwa ndani ya mfuke uku ukizungusha maji yale

Na mti kwa manuizi Maji yale utayamwamwaga chooni Ukifanya dawa hii hakikisha usioge kipindi cha siku tatu
Na usikutane na mwanaume au mwanamke yeyote kwa kipindi cha siku hizo tatu wala kutoka ndani ya nyumba

Dawa hii itakupa bahati tu sio kwamba itakupa pesa
Mkuu leta tuiuze humu JF🤣🤣🤣🤣Wadau wanapenda sana ngekewa🤣🤣🤣Tutapiga hela Mkuu
 
Sasa kwisha shida nini kijana wangu?
 
Link ya Uzi wake wa Canada hii hapa ,
hahahaaha kwisha mzee wa michai
 
Sifa kubwa ya mtu mwongo lazima uwe na kumbu kumbu,uyu bwana Kuna Uzi wake anadai anaishi Canada.Baba yake alimtelekeza yeye mama yake pamoja na ndugu zake Saba
Mganga toka Canada huyo 🤣.
Waganga wanajitokeza siku Hadi siku.
 
mimi sijali kama jamaa ni mr michai chahi au anaishi canada, maelekezo nimeyaelewa ngoja nikakoroge dawa kwanza nipate ngekewa

oyaa life gumu mjue.
 
Back
Top Bottom