Dawa ya Amoeba Jamani

Dawa ya Amoeba Jamani

Chilangachiba

Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
26
Reaction score
2
Habari wakuu! Nisaidieni mwenzenu, nimetumia dawa za hospitali za kutibu amoeba naona hazinisaidii sana. Naomba kwa anayefahamu dawa za asili (herbal medicine) za kutibu amoeba anijulishe. Asanteni
 
Fanya uchunguzi zaidi ndugu , ni kweli kinachokusumbua ni amoeba ? Kwamba Metronidazole , Tinidazole , secnidazole ,Ornidazole n.k zimeshindwa ? Sitaki kuamini !
 
Duh,
Sikuhizi kila mtu daktari, mambo ya mtandao.
Ila nadhani huna tatizo la amoeba, maana amoeba hawawezi kuresist dawa alizotaja mkuu hapo juu.
Kapime upya.
 
Habari wakuu! Nisaidieni mwenzenu, nimetumia dawa za hospitali za kutibu amoeba naona hazinisaidii sana. Naomba kwa anayefahamu dawa za asili (herbal medicine) za kutibu amoeba anijulishe. Asanteni

Huwa nasikitishwa sana na hizi hospital za mtaani na vipimo vyao feki. Kwa taaluma mimi ni Health lab scientist kama bado hujapata ufumbuzi wa tatizo lako nitafute nikusaidie kwa vipimo.
 
Heee nilizani amoeba ni tydhoid kumbe ni minyoo ama kweli mbumbumbu mzungu wa reli
 
Huwa nasikitishwa sana na hizi hospital za mtaani na vipimo vyao feki. Kwa taaluma mimi ni Health lab scientist kama bado hujapata ufumbuzi wa tatizo lako nitafute nikusaidie kwa vipimo.
WEWE UNAPATIKANA WAPI? MAANA MIMI KILA NINAPOPIMA AMIBA NDIYO WANAOONEKANA LICHA YA KUTUMIA DAWA
 
Back
Top Bottom