Kama result ya dawa ndiyo shepu hiyo basi hakuna haja kumchukulia hiyo dawa Mrs wangu maana kishepu tu anajitoshereza kwa kweli..View attachment 420767
Samahani dada km nimekukwaza ....... hasara ya dawa hizo ni kubwa kuliko faida ,
Kutumia madawa kutengeneza shape au rangi ni hatari sana kwa binadamu , usiwadanganye wenzio wenye uelewa mdogo (ill-informed )
Samahani dada km nimekukwanza ....... hasara ya dawa hizo ni kubwa kuliko faida ,
Kutumia madawa kutengeneza shape au rangi ni hatari sana kwa binadamu , usiwadanganye wenzio wenye uelewa mdogo (ill-informed )
Wala hujanikwanza mpendwa! ila usipende kumuingiza Mungu kwenye mambo ya ajabuajabu,
Mungu anayeniona mimi muuza dawa anakuona wewepia kwenye yale yako

Umeona kumbe. ..... mungu hapendi mambo haya ya ajabu ajabu. ....yeye katuumba kwa rangi na shape nzuri. ... wewe unataka kumsaidia kwa kutuuzia madawa toka Guangdong