Davido anunua Mercedes Maybach toleo maalumu la ‘Virgil Abloh’ kwa Tsh. Bilioni 1.41

Pacific holdings limited, kampuni inayomilikiwa na mzee adedeji adeleki Baba mzazi wa davido ni global conglomerate company yenye shughuli nyingi za kibiashara anzia ulaya, Asia, America
 

Yes wakati anazaliwa Atlanta, ambako tayari familia yake ina makazi ya kudumu huko mimi na wewe tumezaliwa tandahimba, ukiacha mbali makazi yake binafsi ambayo anamiliki atlanta, tufanye kazi kwa bidii sana , hivo vitu kwa Davido ni issue ndogo ndogo sana
 
Kumbe

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 

Hapo Davido akiwa na mfanyabiashara na msambazaji mkubwa wa mafuta sehemu mbalimbali afrika femi otedola ambae anakadiriwa kua na utajiri wa zaidi ya dollar bilioni 2 , maandishi pale juu yanasema mtoto wa kiume wa bilionea ambae ni davido kakutana na bilionea kwa tafsiri ya haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…