David Silinde hakuwa mroho, anastahili sifa

mkuu mbunge wa ccm mwingine anayeheshimika ni Mpina huyu jamaa anahoja nzito sana anajielewa sio kama wakina lusinde,mshama
 
huyu jamaa anatisha toka udsm..wala aigizi kama zitto.,yeye ni mpambanaji..hana mbwembwe wala kujikweza kama mr mawese..God bless him
 
Silinde umeonyesha kuwa it can be done play your part
 
Kiukweli Silinde unastahili umefanya mambo makubwa yanayoonyesha hauna ubinafsi
 
mkuu hapa umeongozwa na mahaba juu ya wabunge wa chadema ila ukweli hakuna wa kumfikia ZZK. maana hata waliopo wanajitahidi kuiga njia za ZZK ila bado wameishia kupayuka tu na sio kujenga hoja mf. lissu,mnyika,sugu, na mfanano wa hao.
 
Usilinganishe Rais Sugu anayengoza jiji lenye wapigakura zaidi ya laki 4 na anashinda na kulimiliki jiji na mzee wa Dubai ya Kigoma, mnafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…