McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 889
- 2,863
Wakuu,
Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema kuwa kuna baadhi ya watu hutumia mitandao ya kijamii kujinufaisha kwa kuchochea vurugu ili kujineemisha
"Vijana mkumbuke baadhi ya wahalifu wamebaini kwamba kutokana na mitandao hiyo ya nje wakianzisha akaunti zao wakipeleka maudhui ya uchonganishi na kutukana, baadhi yetu ambao hatujui kuchambua mambo tutawafuata"
"Wakipata wafuasi wengi ndivyo wanavyolipwa na hiyo mitandao, kwa hiyo wahalifu wanatumia hiyo mitandao"