Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,531
- 2,225
Kwahiyo unataka kusema waliweka pesa hizo kwenye akaunti ya Mwigulu?Atutajie hao wahisani
Miradi waliyofadhili na kiasi cha pesa walichotoa
Naona Unafanya uchochezi hao ni mabos zake wao wako bize na mambo makubwa kubwaMwigullu PhD na Prof Kitila wamezidiwa uwezo na Kafulila 😀
Nyani ni nyani tuView attachment 3218277
===
Kafulila akijibu tuhuma ya Mbunge wa Kisesa CCM Mhe Luhaga Mpina kwamba Waziri wa Fedha ametumia zaidi ya Trilioni Saba (TZS7T) bila fedha hizo kupita katika mfuko mkuu wa Serikali hazina,
Haya ndio majibu ya Kafulila kwa Luhaga.
" Cde Mpina lazima uelewe Kuna baadhi ya wakopeshaji wanapeleka pesa zao moja kwa moja kwenye miradi husika bila kupitisha pesa zao hazina. Hivyo hazina wanapewa taarifa tu kwa sababu wao wanamlipa mkandarasi wenyewe wakiamini hiyo huenda ikaepusha pesa yao kutumiwa kwa matumizi yasiyo kusudiwa au nje ya malengo ya mkopo"
Pia soma Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali
Sijasema hivyo ! Kwakuwa nj miradi ya umma hakuna siri aweke data zake hapa tumzogoe Mpina kwa uongo! Akishindwa kufanya hivyo tutaendelea kumuamini MpinaKwahiyo unataka kusema waliweka pesa hizo kwenye akaunti ya Mwigulu?
Kumbe yale makaburi mawili yalijaa maji bila kuzikwa wafu wake😭😭😭😂😂😂
Kafulila ni mla rushwa haswaSijasema hivyo ! Kwakuwa nj miradi ya umma hakuna siri aweke data zake hapa tumzogoe Mpina kwa uongo! Akishindwa kufanya hivyo tutaendelea kumuamini Mpina
Trillion 7 ni pesa nyingi sana hivyo tungeweza kuona miradi mipya nchini mwetu.Kitu kimoja napenda toka kwa Kafulila anaweza akakukibu mpaka ukajiona huna akili kabisa,
Wote ni chain ya wala rushwa wazuriMwigullu PhD na Prof Kitila wamezidiwa uwezo na Kafulila 😀
Kafulila anazungumzia sheria ipi ya fedha?View attachment 3218277
===
Kafulila akijibu tuhuma ya Mbunge wa Kisesa CCM Mhe Luhaga Mpina kwamba Waziri wa Fedha ametumia zaidi ya Trilioni Saba (TZS7T) bila fedha hizo kupita katika mfuko mkuu wa Serikali hazina,
Haya ndio majibu ya Kafulila kwa Luhaga.
" Cde Mpina lazima uelewe Kuna baadhi ya wakopeshaji wanapeleka pesa zao moja kwa moja kwenye miradi husika bila kupitisha pesa zao hazina. Hivyo hazina wanapewa taarifa tu kwa sababu wao wanamlipa mkandarasi wenyewe wakiamini hiyo huenda ikaepusha pesa yao kutumiwa kwa matumizi yasiyo kusudiwa au nje ya malengo ya mkopo"
Pia soma Luhaga Mpina: Waziri wa Fedha amekopa na kutumia Zaidi ya Tsh. Trilioni 7 Bila kuingizwa kwenye Mfuko Mkuu wa Serikali
Hakuna zaidi ya wizi na ujanja ujanjaTrillion 7 ni pesa nyingi sana hivyo tungeweza kuona miradi mipya nchini mwetu.
Ataje miradi iliyoanzishwa na hiyo trillion 7
CHADEMA Kafulila anatupa shida sana kwa hoja mujarabu na hapo kampeni badoNItakuwa mtu wa mwisho kuamini kama Kafulila ana akili timamu
Mabosi na Shemeji zake 🐼Naona Unafanya uchochezi hao ni mabos zake wao wako bize na mambo makubwa kubwa
Bora wewe umeamua kuwa mkweliCHADEMA Kafulila anatupa shida sana kwa hoja mujarabu na hapo kampeni bado