Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
Ngoja aongeze idadi ya vyama vyenye nguvu ili vigawane gawane hicho kidogo walichonacho, si vyama vya upinzani hataki ushirikiano!Dogo ameanzakupotea kwenye game mapema sana
Huo ni uongo. James mbatia alitoa gari lake aina ya Ford likakaa kigoma miaka miwili kuhamasisha na kujenga chama. Lilikuwalikifanya kazi kigoma, kasulu na kibondo. Mafuta namshara wa dereva alilipa yeye mbatia. Hivyo kafulila amesaidiwa sana na mbatia, nakumbuka kipindi hicho kafulila alikuwa anavaa viatu vya mchina. TAIMA vimelika soli hadi mashino ya kwenye soli yanaonekana.
atakuwa kaisha kama kaenda huko kama hana shughuli nyingine lazima afulie anashindwa nini kumuomba msamaha bosi wake mbatia yaani huyu dogo mjinga sana
Hivi si ali lia lakini jamaa waka mkatalia?
Hivi si ali lia lakini jamaa waka mkatalia?
......kwani saiv si mbunge wa nccr kupitia mahakama????taarifa kupitia gazeti moja zinasema mh.kafulila azuiwa kuhutubia huko kasulu pamoja na kuwa na kibali cha kuhutubia kupitia chama cha APPT maendeleo.
je atasaidia chama hiki kupata nguvu au atakuwa kajimaliza kisiasa?je APPT maendeleo kitakuwa chama kimbilio kwa wale wote walio kwenye msururu wa kufukuzwa kwenye vyama vyao?
Haya maneno ni muhimu yakazingatiwa sana na Wabunge vijana woote!! Hii picha inayojitokeza ni mbaya sana. Tunachohitaji ni kuwa na wabunge wengi iwezekanavyo wa upinzani bila kujali ni kutoka chama gani. Vinginevyo upinzani utazidi kudhoofika na ccm itazidi kung'ang'ania madaraka ya kuongoza nchi kufilisika.nashawishika kusema kuwa mammbo kama haya ya akina kafulila yanapunguza nimani ya wananchi kwa vijana kama wanasiasa mahili,makini,wavumilivu,wenye busara na marengo sahihi, bali njaa, kiburi,dhalau,uchu na haraka ya maisha. ashauliwe.....!!!
Akamwulize Mpendazoe yuko wapi sasa? Mambo ya kukurupuka hayo!!!!najiuliza mshauri wa kafulila ni nani?
najiuliza mshauri wa kafulila ni nani?