Kimafanikio ni real madrid.. Kiutajir nadhani kwa sasa itakua bayern maana wimbi la corona limeitesa Madrid kiuchumiKati buyern munich na real Madrid ipi n tajiri na n kubwa kimafanikio????
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Real madrid makombe ya UEFA tu anayo 13 anayemfatia anayo 7 😀😀😀 jiulize hivi vidogo vidogo anavyo vingapi?.Kati buyern munich na real Madrid ipi n tajiri na n kubwa kimafanikio????
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ng'ombe hazeeki maini.Umri ushasogea...
Hata Mimi nakumbuka alikuwa left back ana mbio hatariHahaha na kumbuka alikua beki wa pemben uyu
Flick ndo kamleta kati
Bale nae alikuwa right back Mara kawa mshambuliajiNa beki ya kati ndo ishakua permanent io
Ka Gareth b alikua beki wa pembeni
Hata kipesa ni Real madtid buyern hajawahi kigusa hata top three kimshiko kakaKimafanikio ni real madrid.. Kiutajir nadhani kwa sasa itakua bayern maana wimbi la corona limeitesa Madrid kiuchumi