a.k.a_Mimi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 292
- 113
Tukibadilisha kwa pesa za kwetu tunaongelea zaidi ya Nusu Trilioni.......kweli pesa inaongea, haya £200 milioni imetolewa dau la Chelsea kwa Messi

ngoja akakutane na akina Kompany wa mancity..
kule ngoma mbichi sio kama la liga..
ngoja tuone kama atashine