baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 5,587
- 11,656
guys nina project yangu nafanya nilikuwa nahitaji database ya makampuni ya usafirishaji mizigo wenye magari makubwa maarufu kama malori, kama kuna mtu anayo anaweza kunitumia private msg au kucoment hapa kwa mawasiliano zaidi