Yaani tukulipe kututajia hizo information au cjaelewa mie
Information ni pesa we kilaza.:becky:
Kuna google usitutisheInformation ni pesa we kilaza.:becky:
Ku
Kuna google usitutishe
Baada ya kufanya utafiti wa kukufanya taarifa za Makampuni nchini, nimeamua kuwaletea orodha ya Makampuni nchini kwa gharama nafuu. Orodha Ina Makampuni 20000 nchini.
List Ina business name, postal address, Street address, city, postal code, district, region, zone, contact name, title , telephone, fax, mobile number, email, Web address, category.
Napatikana :0767102102 Email: wigotz@gmail.com
Bei kwA database yotr ni usd 380.
Hiyo idea iko poa. Km vile yellow page flan hivi.
Waonaje ikiwa pia na muhtasari wa shughuli za hiyo kampuni?
Je, ukichukua matangazo halafu kutembelea iwe bure ispokua kwa anaetaka taarifa za ndani mfano za performance trends, capitalisation, n.k.?
Kila la heri