Salaam wazee wa Tech
Naweza pata mtu anayeweza tengeneza database system ambayo inaweza kutuma sms and email kwa baadhi ya individual ambao wapo katika hiyo system pia huo ujumbe unaotumwa unaweza tumwa in form of bulk message hizo message zinaweza kuwa tofauti but zitumwewakati mmoja kwa watu tofauti
Kujieleza imekua shids kidogo but kwa mtu aliyeelewa concept nayotaka kuiwasilisha basi ajitokezee hata through pm kama kwel anaweza design database system kama hiyo...Asanteni