Data recovery software

Data recovery software

Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
1,599
Reaction score
1,088
Kwa mwenye Data Recovery software naomba msaada please!!
 
dah! hta mm nlikuwa na shida na software hii! nataka ya ku-recover deleted files mkuu!
 
dah! hta mm nlikuwa na shida na software hii! nataka ya ku-recover deleted files mkuu!
 
Kwa mwenye Data Recovery software naomba msaada please!!

ukiwa kwenye intanet ya compyuta yako andika website hii"softpedia.com" ikishafunguka, juu utaona sehemu ya kusearch andika "data recovery" halafu bofya enter/search utaona program zaidi ya 50 za data recovery kisha download yoyote unayotaka.
 
Back
Top Bottom