Data recovery software msaada

KASUKU2012

Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
5
Reaction score
0
wana jf msaada jamani i lost my files on my hard disk nisaidieni software kwa mwenye nayo.muhimu sana.thanks jf
 
go to a torrent client and search for a software inaitwa pareto logic,tafuta yenye patch au crack....its the most efficient i've used so far.......hakikisha unayo hiyo patch na crack before u use it otherwise utaona files zako lakini hutaweza kuzirecover....i hope itakusaidia...kila la kheri
 
Mimi nimeformat mashine(pc) nimepoteza data zangu nyingi na mm nilikuwa naomba msaada kama nitapata na mm data recover::::::nimedownload zinahitaj kubuy::::::
Nitafurahi sana nikipata hata link ni download
 
Tafuta Software inaitwa Easy Recovery Professional is very efficient software I have used it several times it has never let me down. Search it and dowload from a torrent searching site such as www.kat.ph
 
Easy Recovery ni nzuri sana hata mimi nimeshaitumia inaoption nyingi kama umeformat, umedelete hadi recycle bean na nyinginezo jaribu utafanikiwa.
 
wana jf msaada jamani i lost my files on my hard disk nisaidieni software kwa mwenye nayo.muhimu sana.thanks jf

ninawaza kukusaidia nina software inayoweza ku recover data zote. kuna vitu viwili, ununue software na kurecover mwenyewe au nikufanyie kazi hiyo kwa gharama, ninapatikana 0767 102102, email : cerengeti@gmail.com
 
wana jf msaada jamani i lost my files on my hard disk nisaidieni software kwa mwenye nayo.muhimu sana.thanks jf

Mimi nimeformat mashine(pc) nimepoteza data zangu nyingi na mm nilikuwa naomba msaada kama nitapata na mm data recover::::::nimedownload zinahitaj kubuy::::::
Nitafurahi sana nikipata hata link ni download

Tumia hii:
Recuva - Download
 
jamani hiihttp://www.piriform.com/recuva/download ni noma, nimeikubali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…