kingi mweuc
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 266
- 73
Version gani ya wondrshare?wakuu habari zenu....
jamani mi nna shida kama kuna mtu mwenye registration code ya data recovery ya wondershare
anisaidie au kama kuna msaada mwengine wowote kuhusu data recovery naomba nipewe mi
mradi tu niweze kua na data recovery inayofanya kazi....katika pc tafadhali nisaidiwe.
mkuu mi naitaji nisaidiwe yoyote tuu mradi iweze kurecover data hata ulonayo wewe niambie ni version gani pia nisaidie na code zake..Version gani ya wondrshare?
mkuu mi naitaji nisaidiwe yoyote tuu mradi iweze kurecover data hata ulonayo wewe niambie ni version gani pia nisaidie na code zake..
hamadihamisi96@gmail.com hiyo hapo mkuunipatie email yako nikutumie google drive link.
you can PM if you're not comfortable to disclose your email here
hamadihamisi96@gmail.com hiyo hapo mkuu
hamadihamis96@gmail.com hiyo ile nmekosea kwenye hamis mwishoni hamna inipatie email yako nikutumie google drive link.
you can PM if you're not comfortable to disclose your email here
hamadihamis96@gmail.com hiyo ile nmekosea kwenye hamis mwishoni hamna i
poa poa mkuuNimekutumia googledrive link, check your email
Mkuu naomba unisaidie! Et kuna uwezekano Wa kuunlock simu za Voda bila kutumia sigma box?nipatie email yako nikutumie google drive link.
you can PM if you're not comfortable to disclose your email here
Mkuu naomba unisaidie! Et kuna uwezekano Wa kuunlock simu za Voda bila kutumia sigma box?
OK thanksOOps! Sina uhakika ndugu, I'm not so good on mobile devices apps
dah....nikiidownload inakataa kufungukaOOps! Sina uhakika ndugu, I'm not so good on mobile devices apps