Wanasiasa wa CCM hao wana kumbukumbu fupi kuhusu uhusika wao katika kila jambo la nchi hii.
N.B
Suluhisho:
Wajenge bwawa kubwa la maji ktk mbuga ya Serengeti kwa kutumia maji toka ziwa Victoria. Wanaweza kuchimba mfereji mkubwa toka Ziwa Victoria hadi mbugani na humo njiani vijiji pia vikafaidika na maji wa mfereji mkubwa toka ziwa Victoria kwenda bwawa la '"Serengeti"