DARUSO imepoteza sifa kuendelea

DARUSO imepoteza sifa kuendelea

vevenononombo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2015
Posts
1,289
Reaction score
421
Nianze kwakuonesha masikitiko yangu kwa kizazi hiki cha sasa cha wasomi uchwara,na viongozi wao uchwara,pamoja na matatizo makubwa ya wanafunzi kukosa mikopo majamaa yamekaaa kimya bila hata kuona aibu nini kazi yenu kama wawakilishi wa wanafunzi? Chuo kikuu sio sehem ya kusema ndio mzee kwa kila jambo,haiwezekani watoto wa maskini wenzenu wananyanyaswa na serikali nyinyi mmmekaa tu,bora mjiondoe ktk madaraka mliyopewa mnakera sana,Eti Daruso ya Leo imekuwa kama jibwa koko,haina lolote,kwakweli mmnakera sana,wanafunzi wenzenu wanaangaika nyinyi mmekalia kupewa kuponi za kula cafeteria Aiiiibu hata nyinyi?????? Teteeni masikini wenzenu
 
Mkuu kweli Una hasira sana.

Bado boom halijatoka tu?
Mbona wenzenu DUCE washapata siku mingi?
 
Kuna kitu umekificha, funguka tu!!
Lakini umekificha kwa kuwa utaitwa mchochezi...
 
Mimi nilimaliza miaka mingi iliyopita enzi za uongozi makini wakutetea 40%
 
Sipo kuchochea chochote lakini elimu ya sasa inanitua mashaka kwa baadhi ya wanafunzi.

Mkuu utashi unepungua sana siku hizi. Utaashangaa yaani iunakuwa na public lekcha pale Nkrumah na unakuta wanafunzi ni wachache sana, sasa unajuiliza hawa wanafunzi Wa siku hizi nini kinaendelea vuchwanj vyao, ni tofauti na zamani, Ambapo Nkurumah ilijaa hours before public lekcha kuanza.
 
Back
Top Bottom