M miriam 111 Senior Member Joined Aug 25, 2018 Posts 100 Reaction score 77 Apr 14, 2019 #1 Habari za jumapili wakuu.... Kuna hizi nafasi DART walitangaza na deadline ilikuwa tar 3.nasikia tetesi wameita usaili, ni kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za jumapili wakuu.... Kuna hizi nafasi DART walitangaza na deadline ilikuwa tar 3.nasikia tetesi wameita usaili, ni kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
M Mpombote JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 1,944 Reaction score 1,504 Apr 14, 2019 #2 miriam 111 said: Habari za jumapili wakuu.... Kuna hizi nafasi DART walitangaza na deadline ilikuwa tar 3.nasikia tetesi wameita usaili, ni kweli? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ni zile za watu wa kukusanya Data mkuu au sio hizo.
miriam 111 said: Habari za jumapili wakuu.... Kuna hizi nafasi DART walitangaza na deadline ilikuwa tar 3.nasikia tetesi wameita usaili, ni kweli? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ni zile za watu wa kukusanya Data mkuu au sio hizo.
M miriam 111 Senior Member Joined Aug 25, 2018 Posts 100 Reaction score 77 Apr 14, 2019 Thread starter #3 Ndio mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
M maushi isaac Member Joined Feb 6, 2018 Posts 13 Reaction score 1 Apr 14, 2019 #4 miriam 111 said: Ndio mkuu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... sidhani mkuu kama wameitaa
miriam 111 said: Ndio mkuu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... sidhani mkuu kama wameitaa
M maushi isaac Member Joined Feb 6, 2018 Posts 13 Reaction score 1 Apr 14, 2019 #5 miriam 111 said: Ndio mkuu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... wewe umeitwa kwani
M miriam 111 Senior Member Joined Aug 25, 2018 Posts 100 Reaction score 77 Apr 14, 2019 Thread starter #6 Sasa mkuu kama ningekuwa nimeitwa ningeandika uzi huu wa nini Sent using Jamii Forums mobile app
wined JF-Expert Member Joined Nov 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,784 Apr 14, 2019 #7 miriam 111 said: Sasa mkuu kama ningekuwa nimeitwa ningeandika uzi huu wa nini Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... You are so selfish. Kwa hiyo kama wewe wangekuwa wamekuita usingetuhabarisha kupitia JF .unataka ufaidi wewe to .
miriam 111 said: Sasa mkuu kama ningekuwa nimeitwa ningeandika uzi huu wa nini Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... You are so selfish. Kwa hiyo kama wewe wangekuwa wamekuita usingetuhabarisha kupitia JF .unataka ufaidi wewe to .
M miriam 111 Senior Member Joined Aug 25, 2018 Posts 100 Reaction score 77 Apr 14, 2019 Thread starter #8 wined said: You are so selfish. Kwa hiyo kama wewe wangekuwa wamekuita usingetuhabarisha kupitia JF .unataka ufaidi wewe to . Click to expand... Mkuu ulituma maombi? Sent using Jamii Forums mobile app
wined said: You are so selfish. Kwa hiyo kama wewe wangekuwa wamekuita usingetuhabarisha kupitia JF .unataka ufaidi wewe to . Click to expand... Mkuu ulituma maombi? Sent using Jamii Forums mobile app
M miriam 111 Senior Member Joined Aug 25, 2018 Posts 100 Reaction score 77 Apr 14, 2019 Thread starter #9 Halafu hiyo sio habari, ni swali. Kama ningeitwa ningepost mrejesho na si swali my dear wined said: You are so selfish. Kwa hiyo kama wewe wangekuwa wamekuita usingetuhabarisha kupitia JF .unataka ufaidi wewe to . Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hiyo sio habari, ni swali. Kama ningeitwa ningepost mrejesho na si swali my dear wined said: You are so selfish. Kwa hiyo kama wewe wangekuwa wamekuita usingetuhabarisha kupitia JF .unataka ufaidi wewe to . Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app