Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,621
- 10,847
Kama kwa ujinga wako nimeandika mimi ni tajiri, kama kwa ujinga wako hujaelewa nilichosema.Wewe bado fukara unatukana ovyo mitandaoni unatukana usiowajua ..unautajir gani wewe fukara bado una muda wa kuja kutukana usiowajua humu , wewe endelea na biashara za walalahoi hizo unapata vimilioni ukitukana watu ndio unajiona tajiri fala wewe huna hela wewe nahujui lolote
Jipige kifua, bisha sana, toka jasho sana, kua atheist, kua mlokole hadi ukiomba unapiga kichwa kwenye ukuta, vyovyote ila ukweli ndio huo
To be rich, ufalme wa giza, ndio njia pekee ya kuweza kupata utajiri na mali za dunia hii na kama wasemavyo, money is power.
Kama uongo waulize wanaojaza crusade za maombi kisingizio cha mkesha, wafanyabiashara wakubwa, wote hao dark kingdom ndio back up yao.
And am ready to ascend to that kingdom.
"Kisha The Devil akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake, akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia."
Akamfukuza..ila ajabu ni kwamba hakumpinga kauli yake kwamba mali na utajiri ni vya kwake.
oya pepo acha kulia lia fanya kazi, hizo kelele hazikusaidii weweHizo kelele mjomba hazisaidii..ukiujua huu ulimwengu na akili zenu na baadhi wa mliofungwa lock ufahamu wenu mtajiona kama vichaa tu.
oya acha nae huyo alishasemaga atatoa hata nnya ili awe tajiri, hamna mtu humo mkuuThe Bible portrays Satan as a liar and the father of lies. Therefore, it's unlikely that he meant what he said when offering Jesus the kingdoms of the world. His intentions were to tempt Jesus away from his God-given path and lead him into sin.
The Bible emphasizes that Satan's power is limited, and he cannot offer what he does not possess. The true authority over all things belongs to God.
Ndivyo ilivyokuwa majira saba kwakuwa uumbaji ulikuwa kwenye uteka ndo maana hata Yesu hakubisha kwakuwa alikuwa anajua mpaka Muumba aje ndipo mifumo iliyotangulia kinyume na atendae kwa haki itaondolewa.RejeaJipige kifua, bisha sana, toka jasho sana, kua atheist, kua mlokole hadi ukiomba unapiga kichwa kwenye ukuta, vyovyote ila ukweli ndio huo
To be rich, ufalme wa giza, ndio njia pekee ya kuweza kupata utajiri na mali za dunia hii na kama wasemavyo, money is power.
Kama uongo waulize wanaojaza crusade za maombi kisingizio cha mkesha, wafanyabiashara wakubwa, wote hao dark kingdom ndio back up yao.
And am ready to ascend to that kingdom.
"Kisha The Devil akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake, akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia."
Akamfukuza..ila ajabu ni kwamba hakumpinga kauli yake kwamba mali na utajiri ni vya kwake.
Hapa umeingia kwenye haki ya binadamu ya kuabudu na kuamini, hoja mezani ni nini? Na zaidi Huna haki hio ya kumuambia mtu ajisalimishe kwa mtu ambaye wewe unamuamin kua ni ukomboz wako, wewe kuabudu na kumuamini unaemuamini haikupi wewe haki na mamlaka ya kumuhamisha mtu aaamini nakuabudu wewe unachokiamini na kuabudu,,huoni kwamba unataka kufanya usanii ..huu ndio utapeli unaofundishwa saivi kuwajengea hofu watu haswa maskini na mafukara kwamba asipoingia ulipo atapata matatizoNdo maana tunamwambia jamaa hapo utajiri wa shetani ni kiini Macho wenyewe hao waliomfanyia huo utajiri hawautaki hata ishi yao sio ya kufurahia.
Utajiri huo ukiyeyuka kama hutasikia jamaa Kafa au kawa kichaa nimekaa pale. Asipojisalimisha kwa Yesu ndo habari yake kwisha
You are out of your mind!The Bible portrays Satan as a liar and the father of lies. Therefore, it's unlikely that he meant what he said when offering Jesus the kingdoms of the world. His intentions were to tempt Jesus away from his God-given path and lead him into sin.
The Bible emphasizes that Satan's power is limited, and he cannot offer what he does not possess. The true authority over all things belongs to God.
You are out of your mind!
Portrays? How can you portray and accuse someone of lies withour proper evidences
How can u say was unlikely? [emoji23]
Read here
Again, the devil took him to a very high mountain and showed him all the kingdoms of the world and their splendor. “All this I will give you,” he said, “if you will bow down and worship me.”
He replied, “Away from me, Satan! For it is written: ‘Worship the Lord your God, and serve him only.
I dont see where your bible project says he reject that the wealth and riches are from him
kumbe!oya acha nae huyo alishasemaga atatoa hata nnya ili awe tajiri, hamna mtu humo mkuu
Leta vitu.....Umeandika wimbi katika bahari
Safi kumbe shule imo vizuri tu!You are out of your mind!
Portrays? How can you portray and accuse someone of lies withour proper evidences
How can u say was unlikely? [emoji23]
Read here
Again, the devil took him to a very high mountain and showed him all the kingdoms of the world and their splendor. “All this I will give you,” he said, “if you will bow down and worship me.”
He replied, “Away from me, Satan! For it is written: ‘Worship the Lord your God, and serve him only.
I dont see where your bible project says he reject that the wealth and riches are from him
Hagai 2:8, ambalo linasema:Jipige kifua, bisha sana, toka jasho sana, kua atheist, kua mlokole hadi ukiomba unapiga kichwa kwenye ukuta, vyovyote ila ukweli ndio huo
To be rich, ufalme wa giza, ndio njia pekee ya kuweza kupata utajiri na mali za dunia hii na kama wasemavyo, money is power.
Kama uongo waulize wanaojaza crusade za maombi kisingizio cha mkesha, wafanyabiashara wakubwa, wote hao dark kingdom ndio back up yao.
And am ready to ascend to that kingdom.
"Kisha The Devil akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake, akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia."
Akamfukuza..ila ajabu ni kwamba hakumpinga kauli yake kwamba mali na utajiri ni vya kwake.
"Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema Bwana wa majeshi."
We bado mtoto mdogo, tena bitozi nyangema. Huwez kujua lolote. Huna hoja. Elimu yako ndogo sana. Ufaham wako ni sifuri. Subiri ukuekue ujue ya ulimwengu.oya acha nae huyo alishasemaga atatoa hata nnya ili awe tajiri, hamna mtu humo mkuu
Nilishasema na nasema tena ukionamtu anajibu hoja na hoja yake ya kwanza ni kufirana, basi ni mdau. Sizungumzii tabia hio uliyonayo ya anal sex..jadili mada mezani.Vijana wanadanganyana sana,hivi hivi kama masihara ndiyo wengine huishia kupasuliwa speaker kisa wapate hela.
Kijana wa leo aliyejaa misuli ni rahisi sana kuliwa taco kisa utajiri hawajui umuhimu wa kutumia nguvu na maarifa waliyopewa
🤣🤣wewe ndio ibilisi mwenyewe, shindwa pepo
Sasa mada mezani inasema “Dark wealth sijui dark path” hautaki watu tugusie moja wapo wa sharti mnalopewa huko unasema mimi mdau.Nilishasema na nasema tena ukionamtu anajibu hoja na hoja yake ya kwanza ni kufirana, basi ni mdau. Sizungumzii tabia hio uliyonayo ya anal sex..jadili mada mezani.
We bado mtoto mdogo, tena bitozi nyangema. Huwez kujua lolote. Huna hoja. Elimu yako ndogo sana. Ufaham wako ni sifuri. Subiri ukuekue ujue ya ulimwe
we pepo unangalia majina tunayoandika humu jf na hiz fake id kweli ibilisi ni shetaniWe bado mtoto mdogo, tena bitozi nyangema. Huwez kujua lolote. Huna hoja. Elimu yako ndogo sana. Ufaham wako ni sifuri. Subiri ukuekue ujue ya ulimwengu.
Kwahiyo nawe kakupa utajiri?Jipige kifua, bisha sana, toka jasho sana, kua atheist, kua mlokole hadi ukiomba unapiga kichwa kwenye ukuta, vyovyote ila ukweli ndio huo