Utalia ww acha ujinga......kafanye kazi kwa bidii katafute maarifa mapya utafanikiwa shetani ni mbaya sanaJipige kifua, bisha sana, toka jasho sana, kua atheist, kua mlokole hadi ukiomba unapiga kichwa kwenye ukuta, vyovyote ila ukweli ndio huo
To be rich, ufalme wa giza, ndio njia pekee ya kuweza kupata utajiri na mali za dunia hii na kama wasemavyo, money is power.
Kama uongo waulize wanaojaza crusade za maombi kisingizio cha mkesha, wafanyabiashara wakubwa, wote hao dark kingdom ndio back up yao.
And am ready to ascend to that kingdom.
"Kisha The Devil akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake, akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia."
Akamfukuza..ila ajabu ni kwamba hakumpinga kauli yake kwamba mali na utajiri ni vya kwake.
Na mimi nikuulize, Sehem za siri za baba yako ni sawa na za kwako? Kwamba urefu na upana..je ni sawa?Tafuta taratibu utapata, njia ya giza ina utajiri lakini umejaa mateso, mahangaiko na taabu tupu.
Nje utaonekana kama una nuru lakini moyoni kunawaka moto.
Wazazi/walezi wako hawakuwa wajinga kuacha kukutoa kafara ili wawe matajiri.
Wanaofanya kaz kwa bidii wote ni mafukara. Ndio mana hua mnasema mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe..si mliimbiwa hivyo.Utalia ww acha ujinga......kafanye kazi kwa bidii katafute maarifa mapya utafanikiwa shetani ni mbaya sana
Upo sahihi mkuu!Jipige kifua, bisha sana, toka jasho sana, kua atheist, kua mlokole hadi ukiomba unapiga kichwa kwenye ukuta, vyovyote ila ukweli ndio huo