mimi mwenyewe jana nilikuwa mwenge nikashangaa sana.mji mchafu unanuka wachuuzi kila kona hamna hata pa kupita.ss nikacheka yan unakutana na mtu baba mzima ameshikilia labda vitabu vichache anatembeza au magauni machache anauza.ss unajiuliza huyu nguvu alizonazo angerudi kijijin kulima si angekuwa tajiri???yan sera za hii nchi haziko vivuri