Darasa la nane (8) STD 8 ni lipi

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,595
Kwa mujibu wa mfumo wa Elimu Tanzania Tuna darasa (STD) 1 hadi la7 kwa while za msingi
Halafu tuna
9 - Form one
10- Form Two
11- Form Three
12 Form Four
sasa swali ni je hill darasa la nane ni lipi, linasomwa wakati gani maana kwenye mpangilio halipo ila utasikia wakubwa wa Wizarani wanakwambia Matokeo ya darasa la 10, 12 yametoka.

Karibu wajuvi mtujuze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marangu upo Nchi gani
au Marangu ipo inchi gani? huenda Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…