Darasa Huru: Ufundi Laptop (Beginners To Advanced) Introduction

Boss me sidhani kama mtwara nzima kuna mtu smart kama wewe. Hongera sana, najiandaa kupitia mafunzo hayo nifumue laptop yangu na kuifanyia repair mwenyewe. Nakutegemea boss. Mungu akupe uzima.
 
Mkuu anzia hapa, simu yangu hainipi notification za newpost au comments za JF. Nimefuatilia settings zote lakini hakuna jibu.
 
Mkuu anzia hapa, simu yangu hainipi notification za newpost au comments za JF. Nimefuatilia settings zote lakini hakuna jibu.
Hilo Ni Tatizo La Jf Ndugu, Sio Wewe Tu Hata Mimi Pia.
 
Mungu akubariki sana
Kama watu wote wangekuwa na roho kama yakwako ya kushare knowledge tungekuwa mbali sana
 
Nashauri Mada zote uzipost hapa hapa kwenye Uzi huu.. Coz ukihamisha somo flan kwenye Uzi wake Italeta usumbufu..
 
Ahsante kesho tutakuwa pamoja Mungu akipenda
Nalog off
 
Mungu akuzidishie mkuu, nakaa siti ya mbele kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…