mchizikichiziTz
Member
- Aug 25, 2025
- 16
- 9
Ujenzi ulioendeshwa kwa kasi na udhamini wa Rais. Ujenzi ulianza Desemba 2019 na ulifikia asilimia 85 ifikapo Machi 2024.
Katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mradi ulikua kwa kasi. Alikuta ukiwa umefikia asilimia 25 tu.
Umefikia ukamilifu asilimia 100 ifikapo Juni 2025.
2. Ujenzi uliokamilika kwa mafanikio. Mradi ulichukua Shilingi bilioni 610–716, na daraja lenyewe lina urefu wa takribani kilomita 3–3.2 na upana wa mita 28.45.
Daraja hili ni refu zaidi Afrika Mashariki na ya sita barani Afrika.